LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
- Thread starter
- #41
Uko sahihi chiefHongera sana
Nakumbuka tulikushauri sana
HUo ndio uanaume lasivo ungezorota afya mwishoe maradhi mara bye bye
Uko sahihi chiefHongera sana
Nakumbuka tulikushauri sana
HUo ndio uanaume lasivo ungezorota afya mwishoe maradhi mara bye bye
Mkuu shukrani sanaUnapaswa upewe kila sifa ya kuwa very calm katika yote haya.
Wengine na miakili yetu mibovu saa hizi tungekuwa tunaongelea kwingine kabisa.
Never will happen kamanda. Not at allMkuu, hongera sana sana.
Nasisitiza tu USIJE MSAMEHE HUYO MPUMBAVU.
USIJE MPA SECOND CHANCE KWA KIGEZO CHA ATABADILIKA AU MLEE WATOTO.
Angewaza kesho ya watoto wala asingedai talaka.
Uko sahihi maana ukisalimika kufa bas utatiwa umasikin kila sikuulDunia ya sasa haitaki watu wenye moyo Safi kama wako chief
Hakuna mahala nimeandika nimemla mtu kimasihara.Kila story inayoletwa hapa lazima atajwe mdada wa JF kuliwa kimasihara aiseeeeeee
Pamoja kamandaBig up sana wewe n master
Ahahah. Mkuu shukrani. Tupo pamoja hapa hapa jukwaani chiefFanton Mahal una madini fulani hivi ambayo huwa yananipa maswali ya kuwa wewe ni mtu wa namna gani. Jasiri,mthubutu na usiyeshindwa.
Natamani siku moja nikutane nawe japo lisaa limoja tu unipe mbinu za namna ya kufika ulipo wewe! Napenda kujifunza kutoka kwa watu wenye akili kubwa kama wewe mkuu.
Ubarikiwe mara dufu mkuu.
Ahahahahah. Si unajua tena member wa JF wanaku validate kwenye kila ange sasa ukikosa umakini kwenye uandishi watakupiga mawe tu waz waz bula kuficha .Ila mkuu unaandika na kujieleza vizuri dah,
Unaweza ukawa una hoja,hakuna malaika kwenye ndoa ndio maana ikatokea mke wa mtu kupiga picha za uchi na kwa kujihami unaenda kumtia na mumeo ndani kama self defence.Mama wa watoto watatu kuomba talaka Sio Suala dogo,lazima utakuwa na majanga yako kashindwa kuyavumilia!!
Pamoja chief. Hatimae limeishaKazi nzuri sana kiongozi
Kazi ni kipimo cha utu
Shukran chiefHongera sana
Haya ya kwenu mazito!Unaweza ukawa una hoja,hakuna malaika kwenye ndoa ndio maana ikatokea mke wa mtu kupiga picha za uchi na kwa kujihami unaenda kumtia na mumeo ndani kama self defence.
Uko sahihi kabisa mkuu. Japo watoto pia huwathirika kulelewa katika ndoa yenye changamoto na migogoro.Linapokuja suala wanandoa kutalikiana huwa hakuna mshindi,upande unaoathirika ni watoto na ndiyo unaoumia sana. Inaumiza sana ila huwa hatuzungumzi.
Kumbe una comment na hujui nimetoka wapi na hiki kisa?? Kimeanzia mbali na nimeweka kila kitu huko nyuma. Ndio maana usipende ku judge kabla ya kuwa na taarifa kamili.Haya ya kwenu mazito!
Ni wewe tu kuachagua kuamini au lah mkuu. Viewer secretion is highly advised. Hulazimishwi kuamini na hujakatazwa kutafuta habar upande wa piliInnocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba
Uko sahihi mkuu. Japo hili kulieleza labda niandike uzi wake independent , lakini am sometimes thankful hili lime happenTALAKA INA FAIDA YAKE PIA.
NI KAMA UMEZALIWA MARA YA PILI.
AMINI UMEONGEZA MIAKA MINGI YA KUISHI.
Yeah sureNdoa Ina siri kubwa. Nukta