LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF.
Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha.
UTANGULIZI
Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu niliopandisha mara ya mwisho 👇👇
www.jamiiforums.com
SHUKRANI
Nimeona ni muhimu kuleta feedback hii kwasababu:
- Kwanza niliahidi kufanya hivyo.
- Pili kama ishara ya shukrani kwa mchango wa mawazo mbali mbali niliopata toka kwenu ,kunijenga, kunitia moyo na kunipa mwangaza katika ku navigate through hii crisis niliokutana nayo.
Niseme wazi tu kuwa mchango wenu kwangu umekua wa thamani sana ,sio rahisi kueleza nikaeleweka.
Na hii inajumuisha michango yote katika thread kwa ujumla, lakini pia michango ya mtu mmoja mmoja binafsi ambao walinifuata PM kunipa msaada wa kimawazo na kisheria na kiutu tu kwa maana ya saikolojia na namna ya kulitazama hili suala katika namna constructive pasipo kuruhusu lini athiri. Pia wale ambao niliwafuata inbox baada ya kusoma michango yao katika uzi hivyo nikataka ufafanuzi zaidi. Mungu awabariki nyote.
SEHEMU YA KWANZA: MAHAKAMA-NAKALA YA HUKUMU
Mwezi wa tatu (March) ndio nilitakiwa kurudi kwa habari ya kupewa hukumu yangu ya kesi toka kesi ilipoitwa mwezi February na nikaweza kuishawishi mahakama kuwa kesi hiyo imalizike siku hiyo hiyo na kweli ikawa hivyo.
(Unaweza pitia hapa kama hukusoma 👇👇)
www.jamiiforums.com
Kwakifupi tu ni kwamba sikupewa hukumu na ikanichukua muda kidogo mpaka Hatimae mwezi June nilifanikiwa kupata official document juu ya hukumu ya kesi.
Nilipofika kupata hukumu yangu, nikauliza kuhusu TALAKA nikaambiwa itachukua muda lakini natakiwa kuacha taarifa kwaajili ya maandalizi ya Hati ya Talaka.
Taarifa kama majina kamili ya wanandoa, majina ya watoto, majina ya wazazi, ndoa ilifungwa wapi, kiasi cha mahali kilichotolewa na kama kilimalizwa au lah, anwani za makazi ya wazazi, mkoa, wilaya, mtaa.
Nashkuru taarifa zote zilikua kichwani isipokua Jina kamili la baba mkwe. 😅.
Hapa majina yake la kwanza na la Mwisho ndio huwa nayajua kasoro jina lake la kati.
KArani wa kesi yangu akaniomba nimpigie simu ex-wife ,nami bila hiyana nikafanya hivyo na kumjulisha kuwa nimekuja mahakamani kufuatilia hukumu na ninaomba unisaidie jina la kati la mzee kwaajili ya kuandaa Talaka. Basi na yeye akafanya hivyo. Sikua nimemjulisha kama nimefika kufuatilia haya masuala, na sikuwah fanya hivyo,ila this time ilinilazimu kumjulisha baada ya kuambiwa nipate jina la kati la mzee toka kwake.
Basi hakukua na mambo mengi. Nikaomba kujua kama hiyo Talaka inaweza kuwa processed siku hiyo hiyo maana natakiwa kurudi mkoani. Karani akanambia sio kweli maana tumebaki na copy chache za Hati ya Talaka, nikawauliza kama naweza fanya chochote kusaidia ili ku solve hilo suala ,jamaa akasema tusaidie tupate copy za kutosha, nikaona haina shida nikaomba copy nikatafuta stationery nikatoa copy kadhaa kwenye Legal paper nikawarudishia, kisha nikaondoka. Niliamua kuingia hii gharama ya usumbufu ili kuwapunguzia sababu za wao kushindwa kutimiza wajibu. Nikawasha chuma NIKAONDOKA kurud town Kwakua nilikua na miadi na mwana JF.😊
Na hii ndio ilikua my first time ku meet na female JF member, nikam peak up pande za Sinza tukaelekea pande mikocheni Golden Folk, tuka have a gud time, dinner ,discuss mambo ya hapa na pale na jioni ikaisha vizuri nikarudi kulala baada ya kumrudisha home kama mida ya saa 4 usiku hivi.
Kesho yake ex-wife akanipigia kuuliza "mbona hukunipa mrejesho wa mahakamani".
Sikua rude, na ki gentleman tu nikamjibu "hakukua na feedback yoyote ya kukupa, ila kilichonileta nimepata,hivyo at your own time pia unaweza fuata nakala yako ya hukumu iko tayari".akasema okay, nitakwenda nikipata muda,kikasema sawa, all the best Nika hang off. Na kesho yake nikaondoka kurudi mkoani kuendelea na maisha yangu ya porini kama nilivyochagua. 😁
Baada ya mwezi mmoja , ex- wife akanitafuta kueleza ishu za Mwanangu wa kwanza ambazo hazikua zimekaa vizur kabisaa , kuhusu shule. Nikaona isiwe Taabu, nika plan na kuandaa program ya kum rescue ambapo nikarudi tena jijini kwa siku 4. Hii sasa ilikua ni last week.
Nikamwambia mama mtu nitahitaji ku spend time na mtoto for 3 consecutive days tuwekane sawa. Sikutaka kufikia kwenye nyumba yangu, but nikafikia kwa shemeji angu (mke wa bro, huyu wako nae ofisi moja kazini), so nikawa naonana na dogo toka saa 2 asubuh mpaka saa 12 jioni kufanya kilichotakiwa kufanyika, na kwakua siku 2 kati ya 3 zilikua weekend, nikawa nashinda na wanangu wooote pamoja. Sikufikia kwa mama yao (kwao) wanakoishi mpaka siku naondoka, na sijawahi kufika wala sipajui.
SEHEMU YA PILI: MAHAKAMA-HATI YA TALAKA
First day ambapo ilikua ijumaa katika programm yangu ya kuonana na mwanangu ,mapema nilianzia kwanza mahakamani kufuatilia Hati ya Talaka.
Nilipofika nikamkuta karani wa kesi yangu, akanambia Hati iko tayari lakin haijasainiwa na Hakimu na yeye hayupo kwa muda huo kaanzia nje ya ofisi. Hivyo natakiwa kufanya malipo ya serikali nipatiwe risiti kisha Hakimu akifika amalizie kwa ku sign tu. Na kweli akanionyesha jalada ya kesi na nikaona kweli imebaki ku saini tu, nikalichunguza lile jalada nikakuta kuna nakala 2 za hukumu ya kesi.
Nikamuuliza karani, huyu mdai wangu aliyefungua kesi (yaani ex-wife) hajachukua hukumu yake? Akauliza kwann unasema hivyo? Nikasema naona nakala 2 kwenye hili file, na nina amin nakala moja ni ya kwenu na nyingine ni ya kwake. Akanijibu " ni kweli, huyu mtalaka wako HAJAWAHI KURUDI TENA MAHAKAMANI TOKA SIKU KESI IMEEITWA NA IKAISHA. NI WEWE TU NDIO UMEKUA UKIFUATILIA KUIMALIZA, OTHERWISE NA WEWE UNGEKAA KIMYA MAANA YAKE HII KITU INGEBAKIA HEWANI.
Nikasema sawa ,japo sikutaka kujisumbua kujua sababu. Nikaona acha niendelee na mchakato tu ambao yeye aliuanzisha na ameachia njiani.
Maana she was supposed ku push Talaka itoke kama alivyotaka ila she didnt. Alitakiwa yeye ndio alipe gharama za Talaka lakini she didnt.
Kubwa zaidi, alitakiwa kuwa amefuata nakala ya hukumu maana baada ya kupewa hiyo, ndio angetakiwa kuandika barua mahakamni kwaajili ya kukazia hukumu ili mahakama IPIGE MNADA MALI kama alivyotaka kwenye kesi aliyofungua kuwa Ufanyike MGAWANYO WA MALI na mahakama ikampa 60%. Lakin YOTE HAYA HAJAFANYA MPAKA SASA.
Kwahiyo ni mimi tu ndio nimeendelea kufuatilia hili sualaa mpaka kufikia hatua hii, na lengo langu ni moja tu NILITAKA HILI SUALA LITAMATIKE LISIISHIE NJIANI. Hasa ishu ya Talaka.
BAsi baada ya kujua hayo yote, Karani wa kesi akanipa controll namba nikafanya malipo ya shilingi 5000 nikapewa risiti yangu. Nikaambiwa nirudi saa 6 mchana nimuachie akimbize hilo file mpaka litoke kabla ya saa 6.
Sasa ile hamasa nikaona kwakua na mimi nataman leo niipate hii kitu na ni Friday, nikamtia karani shilingi 10,000/= ili ahakikishe kweli anamaliza hili suala.
Kweli bwana, saa 6 mchana nikarud tena mahakamani, nikakuta kila kitu kiko tayari nikachukua copy yangu nikaondoka kufanya yalionileta.
Sikumpa taarifa yoyote ex-wife kuhusu kwenda mahakamani na kumjulisha kuwa Talaka imetoka. Nikaonana na mwangu, siku ikaisha.
SEHEMU YA 3: MTU CHAKE
Kesho yake nikafika kwa mshkaji wangu niliemuachia gari, nikakuta gari iko hoi bin taabani. Yan iko juu ya mawe jamaa kaitumia ikaharibika akaibwaga hapo. Na hakuwaah hata kunipa taarifa. Sikukasirika. Nikashukuru tu iko mahala salama. Nikaita fundi, akaikarabati, ilinigharimu kiasi chake, ila chuma ikanyanyuka, nika spend nayo weekend pande hizo za nje ya mji, na kwakuaa ilikua weekend,nikamwmbia ex-wife anipe watoto wote nitakua nao kwa shemeji yangu na nilishinda siku nzima na wanangu huku nikiwa na programm na first born wangu. Jioni nikawarudisha watoto mpaka karibu na nyumbani kwao, kisha nikasepa kurud town.
Hii siku ilikua birthday ya my third born, na mama yake alikua amesahau, hivyo kabla sijawarudisha, nikapita nao kwenye ki supermarket flan huwa wanakua na ready made cakes, nikanunua wakaiandika jina kisha wakatufungia tukaondoka nayo. Nilipowashusha karibu na kwao, nikamwambia dada yao (first born) mkamuimbie kaka yenu katika siku yake. Kisha nikam text mama yao kum brief, akashukuru sana. Wanangu wakafurahi pia sana.
Kesho yake jumapili ilikua siku ya mwisho kuonana na mwanangu katika program yetu, nilipomaliza nikamrudisha kisha nikaipaki gari pale nilipomshusha dogo maana ni jirani na wanapoishi, nikampa funguo ya gari na kumwambia "utampa mama yako, mwambie aifuate gari kuichukua".
Nikam text kuwa gari awe anaitumia tu maana kule nilikoiacha itaharibika tena. So officially nikamkabidhi gari awe anaitumia kwaajili pia ya watoto. Mimi nikasepa zangu, baada ya kuchukua daladala na kurud town, na kwakua ilishakua jioni na nimemaliza program yangu na mwanangu, nikafika zangu Manzese saa 2 usiku, nikadaka chuma kuanza safari ya kurudi mkoani kuendelea na maisha yangu.
Hii ni baada ya kumkabidhi mwanangu simu nilionunua kwaajili yao (watoto) tuwe tuna wasiliana kwa ukaribu. Maana siku zote nikitaka kuongea nao, ilikua lazima nipige simu kwa mama yao. Na kwakua muda mwingine unapiga unakuta yupo kwenye OUTING ZAKE hata usiku, nikaona hapa ninakua naingilia uhuru wa maisha yake hivyo acha niwe na direct access na madogo.
Nafurahi sasa yamekwisha na maisha mengine sasa yanaendelea. Kwa upande wangu na upande wake pia.
Kubwa zaidi ,sote tunaendelea vizuri. Mimi naendelea vizuri sana na yeye pia naamini anaendelea vizuri (japo sina details zozote, ila naamini hivyo).
MWISHO - MGAWANYO WA MALI
katika vipengele vyoote katika hukumu, kitu pekee kilichobaki ni suala la mgawango wa mali. Na kwakua haya masuala ni matakwa yake, sijataka ku take initiative ya kuyaanzisha. Kwakua ni yeye ndio anatakiwa kuiandikia mahakama barua ianze mchakato huu ambao sina uhakika kama anafaham anachotakiwa kufanya.
Lakini kwa upande wangu nilipojifunza juu ya nini kinatakiwa kufanyika, nikajulishwa kuwa
sasa hayo yote nimemuachia ex. Hilo ni jimbo lake ,afanye kama itakavyompendeza.japo mpaka sasa sioni kama ana moto tena wa masuala ya mahakamani kuhusu hii kesi. Yupo busy anaendelea na maisha yake mengine.
Ahsanteni
- x - mwisho - x-
Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha.
UTANGULIZI
Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu niliopandisha mara ya mwisho 👇👇
Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani
Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
SHUKRANI
Nimeona ni muhimu kuleta feedback hii kwasababu:
- Kwanza niliahidi kufanya hivyo.
- Pili kama ishara ya shukrani kwa mchango wa mawazo mbali mbali niliopata toka kwenu ,kunijenga, kunitia moyo na kunipa mwangaza katika ku navigate through hii crisis niliokutana nayo.
Niseme wazi tu kuwa mchango wenu kwangu umekua wa thamani sana ,sio rahisi kueleza nikaeleweka.
Na hii inajumuisha michango yote katika thread kwa ujumla, lakini pia michango ya mtu mmoja mmoja binafsi ambao walinifuata PM kunipa msaada wa kimawazo na kisheria na kiutu tu kwa maana ya saikolojia na namna ya kulitazama hili suala katika namna constructive pasipo kuruhusu lini athiri. Pia wale ambao niliwafuata inbox baada ya kusoma michango yao katika uzi hivyo nikataka ufafanuzi zaidi. Mungu awabariki nyote.
SEHEMU YA KWANZA: MAHAKAMA-NAKALA YA HUKUMU
Mwezi wa tatu (March) ndio nilitakiwa kurudi kwa habari ya kupewa hukumu yangu ya kesi toka kesi ilipoitwa mwezi February na nikaweza kuishawishi mahakama kuwa kesi hiyo imalizike siku hiyo hiyo na kweli ikawa hivyo.
(Unaweza pitia hapa kama hukusoma 👇👇)
Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa
Wakuu heshma kwenu. Habari za jioni. Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu...
Kwakifupi tu ni kwamba sikupewa hukumu na ikanichukua muda kidogo mpaka Hatimae mwezi June nilifanikiwa kupata official document juu ya hukumu ya kesi.
Nilipofika kupata hukumu yangu, nikauliza kuhusu TALAKA nikaambiwa itachukua muda lakini natakiwa kuacha taarifa kwaajili ya maandalizi ya Hati ya Talaka.
Taarifa kama majina kamili ya wanandoa, majina ya watoto, majina ya wazazi, ndoa ilifungwa wapi, kiasi cha mahali kilichotolewa na kama kilimalizwa au lah, anwani za makazi ya wazazi, mkoa, wilaya, mtaa.
Nashkuru taarifa zote zilikua kichwani isipokua Jina kamili la baba mkwe. 😅.
Hapa majina yake la kwanza na la Mwisho ndio huwa nayajua kasoro jina lake la kati.
KArani wa kesi yangu akaniomba nimpigie simu ex-wife ,nami bila hiyana nikafanya hivyo na kumjulisha kuwa nimekuja mahakamani kufuatilia hukumu na ninaomba unisaidie jina la kati la mzee kwaajili ya kuandaa Talaka. Basi na yeye akafanya hivyo. Sikua nimemjulisha kama nimefika kufuatilia haya masuala, na sikuwah fanya hivyo,ila this time ilinilazimu kumjulisha baada ya kuambiwa nipate jina la kati la mzee toka kwake.
Basi hakukua na mambo mengi. Nikaomba kujua kama hiyo Talaka inaweza kuwa processed siku hiyo hiyo maana natakiwa kurudi mkoani. Karani akanambia sio kweli maana tumebaki na copy chache za Hati ya Talaka, nikawauliza kama naweza fanya chochote kusaidia ili ku solve hilo suala ,jamaa akasema tusaidie tupate copy za kutosha, nikaona haina shida nikaomba copy nikatafuta stationery nikatoa copy kadhaa kwenye Legal paper nikawarudishia, kisha nikaondoka. Niliamua kuingia hii gharama ya usumbufu ili kuwapunguzia sababu za wao kushindwa kutimiza wajibu. Nikawasha chuma NIKAONDOKA kurud town Kwakua nilikua na miadi na mwana JF.😊
Na hii ndio ilikua my first time ku meet na female JF member, nikam peak up pande za Sinza tukaelekea pande mikocheni Golden Folk, tuka have a gud time, dinner ,discuss mambo ya hapa na pale na jioni ikaisha vizuri nikarudi kulala baada ya kumrudisha home kama mida ya saa 4 usiku hivi.
Kesho yake ex-wife akanipigia kuuliza "mbona hukunipa mrejesho wa mahakamani".
Sikua rude, na ki gentleman tu nikamjibu "hakukua na feedback yoyote ya kukupa, ila kilichonileta nimepata,hivyo at your own time pia unaweza fuata nakala yako ya hukumu iko tayari".akasema okay, nitakwenda nikipata muda,kikasema sawa, all the best Nika hang off. Na kesho yake nikaondoka kurudi mkoani kuendelea na maisha yangu ya porini kama nilivyochagua. 😁
Baada ya mwezi mmoja , ex- wife akanitafuta kueleza ishu za Mwanangu wa kwanza ambazo hazikua zimekaa vizur kabisaa , kuhusu shule. Nikaona isiwe Taabu, nika plan na kuandaa program ya kum rescue ambapo nikarudi tena jijini kwa siku 4. Hii sasa ilikua ni last week.
Nikamwambia mama mtu nitahitaji ku spend time na mtoto for 3 consecutive days tuwekane sawa. Sikutaka kufikia kwenye nyumba yangu, but nikafikia kwa shemeji angu (mke wa bro, huyu wako nae ofisi moja kazini), so nikawa naonana na dogo toka saa 2 asubuh mpaka saa 12 jioni kufanya kilichotakiwa kufanyika, na kwakua siku 2 kati ya 3 zilikua weekend, nikawa nashinda na wanangu wooote pamoja. Sikufikia kwa mama yao (kwao) wanakoishi mpaka siku naondoka, na sijawahi kufika wala sipajui.
SEHEMU YA PILI: MAHAKAMA-HATI YA TALAKA
First day ambapo ilikua ijumaa katika programm yangu ya kuonana na mwanangu ,mapema nilianzia kwanza mahakamani kufuatilia Hati ya Talaka.
Nilipofika nikamkuta karani wa kesi yangu, akanambia Hati iko tayari lakin haijasainiwa na Hakimu na yeye hayupo kwa muda huo kaanzia nje ya ofisi. Hivyo natakiwa kufanya malipo ya serikali nipatiwe risiti kisha Hakimu akifika amalizie kwa ku sign tu. Na kweli akanionyesha jalada ya kesi na nikaona kweli imebaki ku saini tu, nikalichunguza lile jalada nikakuta kuna nakala 2 za hukumu ya kesi.
Nikamuuliza karani, huyu mdai wangu aliyefungua kesi (yaani ex-wife) hajachukua hukumu yake? Akauliza kwann unasema hivyo? Nikasema naona nakala 2 kwenye hili file, na nina amin nakala moja ni ya kwenu na nyingine ni ya kwake. Akanijibu " ni kweli, huyu mtalaka wako HAJAWAHI KURUDI TENA MAHAKAMANI TOKA SIKU KESI IMEEITWA NA IKAISHA. NI WEWE TU NDIO UMEKUA UKIFUATILIA KUIMALIZA, OTHERWISE NA WEWE UNGEKAA KIMYA MAANA YAKE HII KITU INGEBAKIA HEWANI.
Nikasema sawa ,japo sikutaka kujisumbua kujua sababu. Nikaona acha niendelee na mchakato tu ambao yeye aliuanzisha na ameachia njiani.
Maana she was supposed ku push Talaka itoke kama alivyotaka ila she didnt. Alitakiwa yeye ndio alipe gharama za Talaka lakini she didnt.
Kubwa zaidi, alitakiwa kuwa amefuata nakala ya hukumu maana baada ya kupewa hiyo, ndio angetakiwa kuandika barua mahakamni kwaajili ya kukazia hukumu ili mahakama IPIGE MNADA MALI kama alivyotaka kwenye kesi aliyofungua kuwa Ufanyike MGAWANYO WA MALI na mahakama ikampa 60%. Lakin YOTE HAYA HAJAFANYA MPAKA SASA.
Kwahiyo ni mimi tu ndio nimeendelea kufuatilia hili sualaa mpaka kufikia hatua hii, na lengo langu ni moja tu NILITAKA HILI SUALA LITAMATIKE LISIISHIE NJIANI. Hasa ishu ya Talaka.
BAsi baada ya kujua hayo yote, Karani wa kesi akanipa controll namba nikafanya malipo ya shilingi 5000 nikapewa risiti yangu. Nikaambiwa nirudi saa 6 mchana nimuachie akimbize hilo file mpaka litoke kabla ya saa 6.
Sasa ile hamasa nikaona kwakua na mimi nataman leo niipate hii kitu na ni Friday, nikamtia karani shilingi 10,000/= ili ahakikishe kweli anamaliza hili suala.
Kweli bwana, saa 6 mchana nikarud tena mahakamani, nikakuta kila kitu kiko tayari nikachukua copy yangu nikaondoka kufanya yalionileta.
Sikumpa taarifa yoyote ex-wife kuhusu kwenda mahakamani na kumjulisha kuwa Talaka imetoka. Nikaonana na mwangu, siku ikaisha.
SEHEMU YA 3: MTU CHAKE
Kesho yake nikafika kwa mshkaji wangu niliemuachia gari, nikakuta gari iko hoi bin taabani. Yan iko juu ya mawe jamaa kaitumia ikaharibika akaibwaga hapo. Na hakuwaah hata kunipa taarifa. Sikukasirika. Nikashukuru tu iko mahala salama. Nikaita fundi, akaikarabati, ilinigharimu kiasi chake, ila chuma ikanyanyuka, nika spend nayo weekend pande hizo za nje ya mji, na kwakuaa ilikua weekend,nikamwmbia ex-wife anipe watoto wote nitakua nao kwa shemeji yangu na nilishinda siku nzima na wanangu huku nikiwa na programm na first born wangu. Jioni nikawarudisha watoto mpaka karibu na nyumbani kwao, kisha nikasepa kurud town.
Hii siku ilikua birthday ya my third born, na mama yake alikua amesahau, hivyo kabla sijawarudisha, nikapita nao kwenye ki supermarket flan huwa wanakua na ready made cakes, nikanunua wakaiandika jina kisha wakatufungia tukaondoka nayo. Nilipowashusha karibu na kwao, nikamwambia dada yao (first born) mkamuimbie kaka yenu katika siku yake. Kisha nikam text mama yao kum brief, akashukuru sana. Wanangu wakafurahi pia sana.
Kesho yake jumapili ilikua siku ya mwisho kuonana na mwanangu katika program yetu, nilipomaliza nikamrudisha kisha nikaipaki gari pale nilipomshusha dogo maana ni jirani na wanapoishi, nikampa funguo ya gari na kumwambia "utampa mama yako, mwambie aifuate gari kuichukua".
Nikam text kuwa gari awe anaitumia tu maana kule nilikoiacha itaharibika tena. So officially nikamkabidhi gari awe anaitumia kwaajili pia ya watoto. Mimi nikasepa zangu, baada ya kuchukua daladala na kurud town, na kwakua ilishakua jioni na nimemaliza program yangu na mwanangu, nikafika zangu Manzese saa 2 usiku, nikadaka chuma kuanza safari ya kurudi mkoani kuendelea na maisha yangu.
Hii ni baada ya kumkabidhi mwanangu simu nilionunua kwaajili yao (watoto) tuwe tuna wasiliana kwa ukaribu. Maana siku zote nikitaka kuongea nao, ilikua lazima nipige simu kwa mama yao. Na kwakua muda mwingine unapiga unakuta yupo kwenye OUTING ZAKE hata usiku, nikaona hapa ninakua naingilia uhuru wa maisha yake hivyo acha niwe na direct access na madogo.
Nafurahi sasa yamekwisha na maisha mengine sasa yanaendelea. Kwa upande wangu na upande wake pia.
Kubwa zaidi ,sote tunaendelea vizuri. Mimi naendelea vizuri sana na yeye pia naamini anaendelea vizuri (japo sina details zozote, ila naamini hivyo).
MWISHO - MGAWANYO WA MALI
katika vipengele vyoote katika hukumu, kitu pekee kilichobaki ni suala la mgawango wa mali. Na kwakua haya masuala ni matakwa yake, sijataka ku take initiative ya kuyaanzisha. Kwakua ni yeye ndio anatakiwa kuiandikia mahakama barua ianze mchakato huu ambao sina uhakika kama anafaham anachotakiwa kufanya.
Lakini kwa upande wangu nilipojifunza juu ya nini kinatakiwa kufanyika, nikajulishwa kuwa
- mdai (ex-wife) baada ya kuchukua nakala ya hukumu, anatakiwa kuiandikia mahakama barua ya kukazia hukumu (utekelezaji wa hukumu)
- baada ya mahakama kupata barua, itaandika pia barua na kuwakabidhi watalaka (mimi na ex-wife) kwaajili ya kuiwasilisha kwa mtathmini ,ambapo gharama tutazilipia ili kufanyiwa valuation ya mali husika zilizo orodheshwa kwenye kesi.
- mtathmini atarudisha report mahakamani (kama mimi na ex-wife wote tutaridhia tathmini ya thaman iliofanyika) na mahakama itamteua dalali wao ili kupiga mnada mali zote.
- mimi na ex-wife tutapaswa kuwepo siku ya mnada na mauzo yote yatawasilishwa mahakamani ambapo mahakama itatoa gharama zake na salio litagawanywa kwenye asilimia ambazo kila mtu ata stahili.