Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

NHUUUU! Kweli watz kazi tunayo, kama hawa ndo wawakilishi wanaotutetea matatizo tuliyonayo dhidi ya serikali kweli tumekwishaaaaa! na ukizingatia hawa ndo wako wengi pale mjengoni, We juliana yaan wewe kubahatika kupata viti maalum kama mshahara wa kuwatukana wale wanaoikosoa serikali ndo umeona ni uongozi uliotukuka? Hebu nijibu haya maswali yafuatayo;
1. vipi huduma za afya ktk govn't hospital zimeboreshwa zaidi ya ilivyokuwa b4 huu uongozi wa jpm?
2. vp huduma za maji huko vjjn raia wananufaika zaidi ya ilivyokuwa b4 huu uongozi wa jpm?
3. vp mfumko wa bei za bidhaa umeshuka au umepanda ikiwa sambamba na ukali wa maisha kwa raia?
4. vp mishahara ya watumishi wa umma imeshabadilishwa toka huu uongozi uingie madarakani?
5. vp vijana wetu wanaohitim vyuo ni wangapi wameshaajiriwa toka huu uongozi uingie madarakani?
6. vp watumishi wa umma wameshapandishwa madaraja toka huu utawala uingie madarakani?
7. vp watumishi wa umma wameshalipwa malimbikizo yao k.v saraly areas na hela za likizo toka huu utwala ushike dola?
8. vp kuhusu mikopo ya wnavyuo waliopata idadi ikoje ukilinganisha na tawala zilizopita?
9. vp uhuru wa kuongea kwa raia dhidi ya mienendo ya viongozi hawa bado upo?
10. vp haki ya vyama vya upinzani kufanya mikutano ya kisiasa nchin inatekelezwa kama katiba jmt inavyosema?

japo yapo mengi tu naomba unijibu hayo machache kwa evidency ili twende pamoja kwa hoja yako ya kwamba huu ni uongozi uliotukuka na wanachi wote wameshauelewa, ili na mm niuelewe maana asa hv mm naona kelele nyingi majukwaani ya vitisho visivyokuwa na maana kwa wanaohoji.
 
Wahenga wanao msemo wao maarufu, "nyani haoni kundule" Vijana wa ufipa mnazungumzia kukosa think tank..seriously..???
Sasa huko CCM kuna mtu gani mwenye uwezo wa kufikiri sawasawa kama uwaziri tu, anapewa mtu ambaye kwa akili nyingi alizo tumia ana conclude kumiliki cherehani nne ni sawa na kua na kiwanda!
 
Hakuna chama cha ovyo kama ccm. Badala mshughulike na matatizo ya wananchi mnakazana na upinzani.
Nyie mnakula na kunya na magu wako na kairuki lakin kuna kundi la vijana mtaan mewafutia ajira.
"Nyani haoni kundule lake"
subiri uchaguzi ufike uiibe kura

HE IS NOT MY PRESIDENT
 
Ndugu yangu, kama ni mtu mstaarabu utaelewa kwanini nimeanza thread yangu kwa kuomba msamaha na kuwataka radhi wanajamvi, ninayo majukumu mengi. Wakati mwingine majukumu hayo yananinyima fursa hii muhimu ya kuungana nanyi kwenye jukwaa hili.

MUNGU akiniwezesha kumaliza shule yangu vizuri na kukamilisha majukumu yangu ya ubunge, nitapata fursa ya kutosha ya kujadili hapa. Lakini kwa wito huo huo naomba uwaambie pia akina LEMA, LISU na wengine ambao nao huwa wanaandika na kupotea mpaka wapate wasaa mwingine wa kuandika upupu wao tena, tuwakumbushe pia.

Mimi ni mshabiki wa cdm, na katika watu wanaohakikisha cdm na viongozi wao wanajibu au kutokea ufafanuzi hoja zinazoelekezwa upande wao mimi ni mmojawapo. Nadhani baadhi ya watu ninaowakumbusha wajibu wao tena kwa kuwataja majina ni Tumaini Makene na huyo Mashinji ambaye sio verified user. Sasa hapa isiwe kwa hao akina Lissu, Lema nktu . Tuwaambie hata akina Mwigulu Nchemba, Nnape nk nao waje na sio kuwaachia polisi wajibu hoja za kisiasa kwa kipimo cha mkojo.
 
Kama nia yako ni kutaka kuelewa naomba nikujibu kama ifuatavyo, kwa taasisi hasa taasisi ya kisiasa uimara wake na ubora unategemea maono na fikra za kiongozi wake wa juu kabisa kwa maana ya Mwenyekiti. Ndio maana wakati fulani msemo maarufu wa "Zidumu fikra za Mwenyekiti" ulitamalaki, unareflect ukweli halisi kuwa Mwenyekiti ndio moyo wa Chama cha siasa, akiyumba na Chama kinayumba na akiwa madhubuti na chama kitakuwa madhubuti.

Kuhusu kuumia, naomba nikujibu honestly CHADEMA kuna jasho langu, zipo nguvu zangu nyingi nilitumia kuhakikisha kinasimama na kinakuwa chama cha maana, nasikitika kuona wapo manyang'au wamevamia na kujitwalia chama iko wanajitangaza ugombea wa milele na hakuna wa kuwauliza jambo wala kusema kitu, naumia zaidi ninapoona mtu ambaye tulimuamini ameendelea kupotoka na kuwa wa hovyo. CHADEMA ni zaidi ya Mbowe, ni kubwa mno kuliko maslahi ya mtu na familia yake ndivyo tulivyokuwa tukiamini na kuaminisha wengine lakini manyumbu wamegeuza imani hiyo, wanaitumia CHADEMA kwa maslahi yao, wao ndio CHADEMA na CHADEMA ndio wao, hakuna nafasi kwa mawazo mengine, ama mtu mwingine kuleta mtazamo ama maono yanayokinzana na ya kwao. Hawa ni watu wanaopaswa kukemewa, na ndio maana nawakemea.
Kama ulitumia jasho kukijenga wasingekufukaza dada, Danganya wajinga kwa sababu huo ndio mtaji wenu.
 
Juliana Shonza hata hatuna haja ya kukujibu kwa hoja kwa kuwa hoja zako ni dhaifu sana. Ushauri wangu wewe ni mbunge viti maalum now hebu jikite kutafuta Jimbo la kugombea najua ulishazoea kuandika ujinga kuhusu chadema ili upate elfu saba kwa kazi hiyo kwa siku.

Na ninajua umeshaathirika na kukaa mtandaoni kuandika ila sasa ww ni mbunge hebu jitahidi kudeal na shida za watu. Ya chadema tuachie wenyewe kwanza ni jambo la kushangaza sana kujifanya una mahaba na chadema kwa kutuonyesha makosa ya mkt toka lini shonza wewe ukatusaidia?

Nenda zako shida mbowe hanunuliki ndo maana mumeaza na kuharibu biashara zake mkiamini anaweza kunyoosha mikono kwa mabarazui nyie. Mbowe kawaambia No. Na wewe kama unamchumba wako yupo chadema we tulia jamaa awe anakunyoosha mgongo acha story za kipuuzi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Kama CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi si unapaswa kufurahia kwa kuwa wewe ni CCM? Au unawasaliti wenzio, ama ni kiherehere tu, ama kuna kitu ulisahau Chadema wakupe
 
Wahenga wanao msemo wao maarufu, "nyani haoni kundule" Vijana wa ufipa mnazungumzia kukosa think tank..seriously..???
Kwa akili zako na za wanaccm wote ni vigumu sana kuutokomeza upinzani. CCM bila kuiba kura, kubebana na polisiccm ni wepesi kama unyoya.
Shida yenu meshindwa kumaliza shida za wananchi. ww una kula pamoja na Magu na Kairuki lakni huku vijana mewafutia ajira ili muendelee kutawala.
Mnasafari ndefu sana ww mwanamke pamoja na wenzko kuutokomeza upinzani. CCM sasa hivi inaruka ruka sijaona inafanya nn.

HE IS NOT MY PRESIDENT
 
Wakili jibu hoja sio kumshambulia mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwanamke atajuta kwann alitoa uzi humu. Ataomba mpaka mods waufute uzi wake.
ha ha ha ha ha
watu wanahasira. acha watoe povu hawa ndiyo wanafanya watu wawe masikini kwa utawala wao wa kijinga. Mpaka sasa ajira za walimu wa arts zimefuta, no increment n.k
 
Sku zote kama ww ni mwanaharakati na ili ufanikishe lazma uwe na falsafa inayoeleweka mbele ya hadhira. Hapo ndipo utapata watu wakukuunga mkono.

Lakn usipokuwa na falsafa inayoeleweka utakuwa unapoteza nguvu yako bure.

Angalia revolution za akina Mao ze dong , vradimir ilych Lenin.

Walikuwa na misimamo juu ya kile wanachokipigania.

Hata ukiwasima akina Karl max wanasisitiza juu ya falsafa inayeleweka.

Wenzetu hapo mwanzo waliaminiwa sana baada ya kuanza kupiga vita ufisadi na wakawa wanaelezea kwa mifano hai na mpaka wananchi wakawaelewa lakn Mara ghafla wao wanaita gia angani wakabadili maada mpaka wale waliokuwa wanawatolea mifano wakawasafisha ..
Atakayeweza kuwaelewa hapo labda ni maiti pekee
Mkuu linalojitokeza kwao ndio madhara ya kubadilisha gia angani.

Uko walipo nafsi zao zinawasuta na nahisi walishaanza kujutia na kinawagharimu sasa.

MBOWE ACHIA NGAZI NA Dr Slaa aombwe msamaha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu uzi na ule Wa mpendazoe nimeamini CDM inawafuasi wengi
 
Hakikisha umeelewa vzr ndio ujibu hoja. Mpaka mwaka 1945 china ilikuwa na uchumi mbovu kuliko hata Tanzania.
Lakn baada ya vita ya dunia ndio wakajitokeza wanaharakati kuanza kupigania mapinduzi. Msimamo wao ukikuwa ni kutokomeza unyonyaji na kuimarisha ujamaa.

Kutokana na mao kusisitiza mapinduzi ya kijamaa huku akiungwa mkono vzr na wakulima na wafanyakazi ndio iliyopelekea kufanikishwa mapinduzi yake.


Umeniuliza kuhusu chadema je Leo hii chadema wanazungmzia tena ufisadi?
Je zile casestud zake za ufisadi ambazo ambazo zilikuwa zikizungumzwa hazarani Leo anazingumzia tena?

Ukiwa mwlm unavyomfundisha mwanafunzi kuwa herufi A inasifa hizi akakuelewa na kesho tena ukaja kumbadlishia sifa za hyo herufi hataweza kukuelewa.
Akikujibu mkuu naomba uni tag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo kelele zako tu, baada ya kushiba halamu. Muambie aruhusu mikutano hiyo ndio dawa, utaona kama kuna Ombwe au Ombwi.
 
Hoja zipi? Yeye kakwambia kwmba unatakiwa ufurahie so why uaze kuonesha mahaba kwa chadema tena we ni mbunge wa CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dada Shonza katoa hoja wenye mtiririko mzuri wa kueleweka naomba ninukuu"CHADEMA KUNA OMBWE LA UONGOZI" na katoa sababu zake nyingi tu.

Wasi wasi wangu kuanza kumshambulia mtoa mada personally badala ya kujibu hoja kwa hoja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juliana wakati walikua wanampa yule mama ukuu wa mkoa kutoka chama kingine ulilia na kusaga meno?ulisahaulika chezea magufuki wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom