Doctor Sebas
Member
- Jul 19, 2017
- 30
- 41
#SOJOURNER__TRUTH
Mtumwa aliyepigania haki za watu weusi nchini marekani.
Binti aliyezaliwa kwenye familia ya utumwa- huko newyork miaka ya 1790's
Akiitwa Isabella na baadaye kubadili jina na kujiita #sojourner_truth.