History ya mtu

History ya mtu

Muramwaito

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
419
Reaction score
826
History ya mtu huandikwa na watu wengine, kile tunachoandika sisi kuhusu maisha yetu kinaitwa memory (kumbukumbu). Je watu wameandika na kuandika history Gani kukuhusu wewe iwe mioyoni mwao au mahali popote hadi sasa?
 
Jitaidi hyo historia unayotaka kuiacha mkuu iwee n nzurii...
 
Jitaidi hyo historia unayotaka kuiacha mkuu iwee n nzurii...

Shukurani mkuu nipo makini Sana hapo matendo yangu kwa watu na kwa neema yake mwenyezi Mungu naamini itakua njema na sio Mimi tu nijitahidi Bali hata wewe na wote tujitahidi katika hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom