Historia Yenye Ukakasi Kuhusu Uanzishwaji wa Taifa la Israel

Malcom Lumumba heshima kwako mkuu. Aandikapo Malcom Lumumba huwa siachi hata nukta kuisoma. Pia barafu, @PNC1 maandishi ya watu hawa huwa ni ya kitafiti hasa, maana si wachoyo hutoa shahidi kadhaa wa kadha ili uene ukajithibitishie kwa uelewa wako.

Wengine ni wasimuliaji tu, na wamejaa nadharia (nao nawapa heshima yao kwa kiasi Fulani, maana nacho ni kipaji) zaidi ni kama vile waandika scripts, wao huwepo mahali popote pale na wakati wowote, huandika hadi kile mtu alichokua akiwaza, wakati mwingine hutusimulia hadi kiwango cha joto ambacho character alikua nacho mwilini.
 
Nisamehe kaka ni typing error tu sikukusudia..
Usijali mkuu....
Nataman nipate japo robo ya vtu unavyo vifaham kuhusu haya mambo
Mkuu haya mambo ni kujitahidi tu kuyafuatilia na utayajua sana tu tena hata zaidi ya wengi...

Usijakate tamaa,endelea kufanya tafiti utajionea mengi sana mkuu...
 
sana kwa jambo hili kutokea kwasababu ni vigumu mtu akufukuze kwako halafu wewe ukimbilie kwake tena nyumbani kwake.Ni ngumu sana Wayahudi wafurushwe na Waru
Naona kwa nchi za kiarabu za sasa haya yanatokea, waarabu wa iraq, syria, libya nk wanakimbilia yuropa kwa wingi
 
waarabu wanadhani kuwa vita inayoendelea kwao inasababishwa na wazungu lakini wanakimbilia kwao
Roman Empire ilikuwa haitaki kuona Wayahudi wakiwa hai popote kwenye eneo walilokuwa wanalitawala,hii ilisababisha wawauwe kila walipoonekana,ni kama ilivyotokea wakati wa Nazism...

Kwa upande mwingine,vita zinazoendelea kwenye nchi za Kiarabu ni vita inayohusisha mataifa makubwa na magaidi na siyo mataifa hayo na Waarabu....

Waarabu wanaishi kwenye mataifa ya kimagharibi hata leo na hawafanywi kitu,hawaguswi kwasababu siyo magaidi...

Hata wewe ukiwa gaidi watakutafuta wakumalize,kwa wao kufanya hivyo hakumaanishi wanavita na watu weusi....

Nadhani umeelewa sasa tofauti hapo...
 
Dhana ya hawa watu kukimbilia Asia nayo haina ushahidi wa kihistoria kama kukimbilia huku na kuna sababu...

Kwanza Wayahudi na wakazi wote wa eneo la mashariki ya kati wote walikuwa weusi,weupe waarabu unaowaona pale walitoka Uturuki huko ndiyo wakaja pale na kuanza kuwafukuza weusi na kuwaua...

Kwa kifupi maeneo yote ya mashariki ya kati yalikaliwa na watu wesi kabisa na kuna mtaalam mmoja wa mambo ya kale anasema kwamba hakuna kitu kama "midle east" kwasababu haipo,ile inayosemwa kuwa ni middle east ni North east Afrika na ilikuwa ni sehemu ya Afrika kabla ya uvamizi wa weupe...

Anasema dhana ya "Asia Minor" nayo ni ujinga tu,kwanini hakuna Africa minor" au America minor"? Jamaa mule amehoji mambo mengi sana yanayoweza kukuonesha kuwa kuna ujanja ujanja mwingi sana...

Sasa tukiichukua hii ya hawa wakazi wa eneo hilo kuwa weusi utaona tu kwamba eneo ambalo watu hao waliona kuna "wenzao" ni huku Afrika na siyo eneo lingine lolote kwa kuwa wanafanana hata kimuonekano...

Kuna ushahidi mwingi sana wa kuonesha Wayahudi walikuja huku Afrika badala ya eneo lingine lolote duniani.Kuna kushabihiana kukubwa kwa lugha za Kibantu na lugha ya Kiebrania tena cha kale,kuna kushabihiana sana kwa tamaduni za makabila hayo na tamaduni za Kiebrania za kale kabisa,kuna kushabihiana kwa majina pia...

Mambo ni mengi ukifanua tu utafiti wa kawaida na utayaona....
Kwa hiyo unataka kusema Yesu alikuwa mweusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not convincing enough. The mighty bold would have gone extra mile. You are trying hard but you will never touch the bold heights. Kuwa msomaji kama mimi.
this is not about competition mzee...una cha kuchangia sema huna kaa kimya usome usiharibu flow za watu..comment yako ni jibu tosha ya kiwango chako cha akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom