MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Mungu eeeh ???Itabidi Mungu aje ajibu maswali yetu
Mungu eeeh ???Itabidi Mungu aje ajibu maswali yetu
kwa sababu ingekua rahisi saana kuwashusha hata ndugu zao ambao wapo ethiopia ambao ni watoto wa seleman na queen of sheba, hivyo basi kama wangeletwa uganda wangeungana na ndugu zao kutoka ethiopia na kuanzisha taifa lao, ila theodore ambae ndie mossad alieteuliwa kutunza na kubeba kumbukumbu na ramani ya nchi yao ya ahadi aliwatonya wenzao kua tokea kipindi cha joshua kizazi na kizazi kimekua kinaitunza ile ramanai ya nchi yao ya ahadi ambayo ni canaan ambayo baba yao yakobo aka israel alipewa na mungu wao na kuahidiwa kua wataishi huko.......
there fore walichomoa kwenda uganda.......
Kuna eneo uchaggani mila zao na zilizoko kwenye agano la kale ktk Biblia zinafanana sana mkuu.Nashukuru kwa maelezo yako mujarabu, hili la kushabiana lugha ya kibantu na kiebrania, majina na tamaduni sikuwahi lisikia kabisa nafikiria kufanya utafiti wangu binafsi kuthibitisha.
Asante kwa kunifungua walau kidogo.
[HASHTAG]#Eiyer[/HASHTAG]
mbona unataka kulazimisha watu wngine kuwa kama the bold mkuuNot convincing enough. The mighty bold would have gone extra mile. You are trying hard but you will never touch the bold heights. Kuwa msomaji kama mimi.
hahaaa kweli unawashwa washwaWatoto 12 wa Yakobo ambao ndio makabila 12 ya wana wa Israel aliwapata kutoka wake wa 4 sio 3. Wawili ndugu na wawili vijakazi.
Na washawasha!
afadhali wewe umesema humu ndani kunawatu wanabongo zenye upeo unaosafiri kwakasi ya Umeme wakiwapo hao uliowataja hapo...Malcom Lumumba heshima kwako mkuu. Aandikapo Malcom Lumumba huwa siachi hata nukta kuisoma. Pia barafu, @PNC1 maandishi ya watu hawa huwa ni ya kitafiti hasa, maana si wachoyo hutoa shahidi kadhaa wa kadha ili uene ukajithibitishie kwa uelewa wako.
Wengine ni wasimuliaji tu, na wamejaa nadharia (nao nawapa heshima yao kwa kiasi Fulani, maana nacho ni kipaji) zaidi ni kama vile waandika scripts, wao huwepo mahali popote pale na wakati wowote, huandika hadi kile mtu alichokua akiwaza, wakati mwingine hutusimulia hadi kiwango cha joto ambacho character alikua nacho mwilini.
Mkuu mimi ni mtu wa kawaida sanaa...afadhali wewe umesema humu ndani kunawatu wanabongo zenye upeo unaosafiri kwakasi ya Umeme wakiwapo hao uliowataja hapo...
ila mimi naomba nimuingeze huyu jamaa [HASHTAG]#mnepha[/HASHTAG] huyo mtu niliyemtaja hapo anaichambua historia kama amazaliwa zama za babeli huwa haiachi akili yangu Salama kabisa
Mkuu,harakati ni nyingi sana muda unakuwa kikwazo....
Tuendelee kuombeana tu niweze kuandaa huu uzi...
Nina nyuzi kama tatu hivi ninatakiwa kuziandaa na siyo za kuandika siku moja tu...
Sawa mkuu lakini muda umekuwa ni changamoto kubwa sana kwakweli...mkuu kwemaa? ukiziandaa usiache kunitag kaka
Haina sheeda mkuu uzima ndio kitu cha muhimuSawa mkuu lakini muda umekuwa ni changamoto kubwa sana kwakweli...
Ngoja tuendelee kuomba uzima tu mkuu...