Historia yangu ya mapenzi iliyoniachia Makovu kiuchumi na kisa cha Maskini akipata matako hulia Mbwata

Sijaipenda kuimalizia nimeishia kumpandisha ndeg roho ikaniuma mm naomba mungu ata nipate 1.5M tuu siku na umaskini ndio bai bai, kwan tunaojituma sana mungu huwa anatusahau au
pole sana ndugu yangu, mungu atafanya njia
 
Nikiwa form three kuna msichana nilimtokea akanipa sharti ili anikubalie.

Akaniambia nimnunulie caro light (sina uhakika na inavyoandikwa) of course nilifeli hilo sharti na mpenzi nikakosa.

Sijui aliwaza nitatoa wapi elfu mbili ya caro light. It was madness. Nakumbuka siku najieleza na kupokea kibuti changu tulikua pale San Siro tumesimama.

Nikamuambia sasa unatarajia nipate wapi hela wakati wote wanafunzi akajibu we ni mwanaume ila kama umeshindwa kupambana basi siwezi kukukubalia.

Manina
 
Asee itabidi utafte gia kubwa ya kumuingilia umkope hela kubwaaa akituma umblock
😃
 
Nikiwa form three kuna msichana nilimtokea akanipa sharti ili anikubalie.

Akaniambia nimnunulie caro light (sina uhakika na inavyoandikwa) of course nilifeli hilo sharti na mpenzi nikakosa.

Sijui aliwaza nitatoa wapi elfu mbili ya caro light. It was madness. Nakumbuka siku najieleza na kupokea kibuti changu tulikua pale San Siro tumesimama.

Nikamuambia sasa unatarajia nipate wapi hela wakati wote wanafunzi akajibu we ni mwanaume ila kama umeshindwa kupambana basi siwezi kukukubalia.

Manina
Ile uliokuwa unapewa nauli unge-save utembee kwa miguu hadi upate hela ya alichokuomba.
 
Usipopitia hatua kama hii ujanani, utapitia uzeeni. Shukuru mungu umeioitia mapema. Mimi pia nilipitia mapema hayo mambo sasa hivi nimetulia nawatengenezea watoto wangu maisha tu. Umewahi kuona mzee anapata hela ya ku stafu anaongeza mke wa pili au anatanua na kimwana hadi hela inaisha? Hao ndo ambao hawakupitia hatua hiyo.
 
Hela kitu kingine Mzee.

Kabla hujapata mipango ya kuifanyia inakuwa Mingi.

Ukishapata unaisahau/kuiweka kando kidogo na kufanya Mambo mengine yasiyo na Msingi.
Zikikaribia kuisha unakumbuka Mipango yako na kusema ukipata tena utaifanya.

Inahitaji Akili ya ziada kwenye Matumizi ya Hela.
 
ujana ni mma moto......ni njia vijana wengi tumepita...past is the past....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom