Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 742
- 470
mkbest comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika
mkuu in vyepes dsana kumshambulia adui unayemfahamu kama sijasoma vibaya uzi wako unatamani siku 1 uache kujilipua narudia tena si rahis kuacha lkn ni jambo ambalo inabidi ulitekeleze endapo linaidhoofisha nafsi yako muda ni huu, ulijaribu kuacha Mara ya kwanza haraf ukadondoka tena ni jambo linalohitaj kujipa muda kumbuka kuna nguvu hasi na nguvu chanya (rise and fall) si rahisi lkn inawezekana....best comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika