Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

best comment so far. inafariji, ila ngoja nikwambie mi nilishawahi kupumzika like a year na nikawa nafanya mazoezi tu na haikusaidia. ila siku niliyorudia nikarudia kwa kasi Sana. yaani sikupumzika
mk

mkuu in vyepes dsana kumshambulia adui unayemfahamu kama sijasoma vibaya uzi wako unatamani siku 1 uache kujilipua narudia tena si rahis kuacha lkn ni jambo ambalo inabidi ulitekeleze endapo linaidhoofisha nafsi yako muda ni huu, ulijaribu kuacha Mara ya kwanza haraf ukadondoka tena ni jambo linalohitaj kujipa muda kumbuka kuna nguvu hasi na nguvu chanya (rise and fall) si rahisi lkn inawezekana....
 
Kushindwa kugonga demu si kwa sababu ya nyeto. Bali hujiamini. Unatakiwa ijiamini kwanza. Hii case yako ya dushe kushindwa kusimama itakusumbua sana kama hautakuwa makini.

Iko hivi. Kwa kuwa ilikwisha kukutokea mara 1, 2, 3, au zaidi, unapokuwa na demu basi akili yako inashindwa kutawala mawazo na kuwa na hofu ya kwamba ile hali inaweza kijirudia. Na unaposhindwa kucontoal akili na mawazo ile hali inajirudia tena na ndio unazidi kujiweka kwenye mazingira magumu na mwisho unaona nyento ndio suluhisho.

Fanya yafuatayo.

Kunywa pombe kabla na wakati ukiwa na goma lako kwa ajili ya kufanya mapenzi. Pombe inasaidia kutoa uoga, na hofu. Inakupa stym inaongeza mwendo wa mzunguko wa damu. Rudia hili zoezi kila mara at last utakuwa umesolve hilo tatizo.
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona ******) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
Vijana wengi hasa wanapofikisha umri wa kubalehe hupitia hii stage,

Niliwahi kukumbana nayo Nikiwa kidato cha pili, na kweli nilinogewa sana kwa kipindi fulani mpaka nilipojikuta nakuwa msahaulifu sana. Nikamshirikisha bro wangu mmoja ndipo akaniambia Madhara yake nikaacha, lakini niliacha Baada ya kutegeshewa demu nikapiga nikakuta papuchi ni tamu kuliko punyeto!

Pole ndg yangu, ila unahitaji matibabu, Unaweza kupona kabisa Hilo tatizo lako.

Ingawa sijaelewa uhusiano Kati ya kipara na kupiga puchu!
 
Hivi hizi theory mnatoa wapi tangu lini nyeto ikakufanya usiwe na nguvu za kufanya mazoezi???? Acheni kupotosha watu wewe una shida nyingine nenda kwa daktari.
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona ******) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
nitafute nikusaidie mimi nilipiga kwa miaka 16 na sasa nmeacha kabisa na mke wangu naenda bao 5 mpka 6
 
Kushindwa kugonga demu si kwa sababu ya nyeto. Bali hujiamini. Unatakiwa ijiamini kwanza. Hii case yako ya dushe kushindwa kusimama itakusumbua sana kama hautakuwa makini.

Iko hivi. Kwa kuwa ilikwisha kukutokea mara 1, 2, 3, au zaidi, unapokuwa na demu basi akili yako inashindwa kutawala mawazo na kuwa na hofu ya kwamba ile hali inaweza kijirudia. Na unaposhindwa kucontoal akili na mawazo ile hali inajirudia tena na ndio unazidi kujiweka kwenye mazingira magumu na mwisho unaona nyento ndio suluhisho.

Fanya yafuatayo.

Kunywa pombe kabla na wakati ukiwa na goma lako kwa ajili ya kufanya mapenzi. Pombe inasaidia kutoa uoga, na hofu. Inakupa stym inaongeza mwendo wa mzunguko wa damu. Rudia hili zoezi kila mara at last utakuwa umesolve hilo tatizo.
 
Wewe acha, Mimi nilipiga pull miaka 14 mbona sikupata upara??

upara upo mkuu. we umegonga miaka 14 ila nakuguarantee hujapiga Kama Mimi. hata msomaji yoyote wa Uzi huu hakuna aliyefanya Kama Mimi. cjisifii, ila ni kweli.. yaani Mimi ni mfano wa maximum level of a person to masturbate. mi nshapigaga nyeto hadi bao tano per one night. tatu kawaida Sana. Mimi nyeto napiga kila Siku tena asubuhi na usiku. yaani ni guarantee
 
nitafute nikusaidie mimi nilipiga kwa miaka 16 na sasa nmeacha kabisa na mke wangu naenda bao 5 mpka 6

ulianza vizuri ila hapo kwenye bao 5 mpaka 6 naomba uniache kidogo. hii so fursa babu Kama unanishauri nishauri hapa hapa kwenye Uzi. nishahangaika saana na nawajua watu Kama nyie
 
Hivi hizi theory mnatoa wapi tangu lini nyeto ikakufanya usiwe na nguvu za kufanya mazoezi???? Acheni kupotosha watu wewe una shida nyingine nenda kwa daktari.
sipotoshi mtu naongea from experience, halafu sijasema sina nguvu za kufanya mazoezi maana yangu ilikua hivi, Mimi ni mchezaji naujua na naupenda mpira, ila nyeto zimenipunguza nguvu za kupambana uwanjani. yaani nikigombania mpira na mtu kwa kutumia nguvu baada ya hapo najua navyojisikia, kwanza pushups sipigi mikono haina nguvu kabisa.. mazoezi ya mpira sifanyi Kama mwanzo sio tu pumzi Bali I feel my energy level. niwadanganye ili iweje?
 
Wenye nguvu wana vibamia
Na wasio na nguvu wana hogo..
Wanawake siku mkituelewa wanaume Basi ndo kiama kimefika...
 
Tatizo lako ni Dogo tu.
Fanya hivi ;
1. Kuwa busy na watu muda wote, kama unalala pekee yako,tafuta wa kulala nae ili ukose Uhuru. Kama una mke oga na mke.
2. Nenda hospital , omba uwe injured japo kwa ganzi kwenye uume, yaan uuguze kidonda wakati ukiendelea na program tofauti za kukubadili.
3. Kunywa maziwa mchana na asali usiku.
4. Kama huna mke tafuta mke uoe.
5. Mwisho , jione wew ni bora kuliko yeyote. Jikubali .
Ukishindwa tuone wanasaikolojia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom