Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

aisee una haki ya kunyonyoka nywele...bao 5 nyeto dah we mshkaji una matatizo laiv yani...mi napiga mpaka leo ila sio kihvy napiga kwa hamu yani najikuta nmemic tu kupiga nyeto...ila ww ni special case..sema memory loss hili hata mm ninalo sana...na nina uhakika ni hiyo nyeto...
 
Tru miguu inakuwa haina nguvu...
ww mwenzang
 
kwanza uza simu yako hiyo smartfone nunua nokia 1280 au Itel au kisamsung kidogo. kama una kompyuta iuze haraka (ikiwezekana iuze kwa bei ya hasara kama inavyokutia hasara) acha kwenda kucheck porn mahala popote. kula karanga sana, asali na kitunguu swaumu na tikiti (mchanganyiko njoo pm), usinywe dawa yoyote kutibu hali yako, fanya mazoezi ya wastani ya viungo (kutembea, kukimbia, jumping, push-ups), usisikiize maelekezo wala vipindi vya redio vya mapenzi, usikae pekeako muda mwingi (uwe unakwenda kwa marafiki kucheck soka, kubeti labda, kijiweni kupiga story).
 
You sound so stressed, psychologically distracted na inaonekana ni mtu uliekata tamaa na kupona kwa tatizo lako..miaka 24 unakata tamaa ??!! What's ur plan then ?? nyeto for the rest of your life ?? Bwana mdogo embu acha masihara, kaa chini utulize akili na kutafuta solution ya tatizo lako..ni wewe mwenyewe unaweza kujisaidia..nasisitiza ni WEWE MWENYEWE. .lazima upambane kama KIDUME, you must not let a thing like nyeto destroy our life bro !
 
Jamaa labda anataka kujenga familia na mkono wake, you never know
 
Sasa mkuu unajisifia ujinga kwa level yako unaona we ndo the best ila nikuhakikishie tu ww bado kuna wenyewe mpaka wameota sugu inategemeana we n bora ila kuliko nan??
Kikubwa mkuu kuwa na hofu na Mungu jipangie tu ahadi na Mungu kama unafanya kazi mwambie Mungu nikipiga punyeto nifukuzwe kazi au kama unatafuta kazi mwambie nikipiga punyeto sitapata kazi vivyo hivyo kama unasoma take it from me utaacha.
 
Hili tatizo la kumbukumbu na uwezo wa kufikiria limeshakwisha tayari maana umeandika uzi wako kwa mpangilio mzuri tu na umekumbuka matukio yote uliyokuwa unayafanya.

Hiyo simu yako download hotuba/mahubiri/mihadhara ya kidini kuliko hizo picha chafu.

Nakutakia amani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…