Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

Mkuu hapo ugonjwa wako ww ni stress+uoga na kutojiamini. Ushauri wangu ni kuwa tafuta kitoto kidogo dogo(ila asiwe mwanafunzi wa shule) ambacho bado hakijazoea au hakijawahi kbs kusex then ndo uwe nacho. Hakika stress zako zitatulia na uwoga utaisha then utajikuta umepona hilo tatizo coz kitoto hicho ukikipiga bao moja kinaridhika kbs na kitaitengeneza akili yako ijione kuwa kumbe unaweZa kusex na kumridhisha gal !
 
Pole sana ndgu yang jipe moyo uskate tamaa ipo sku utakupona mungu hamtupi mja wake najua ulkosea ila jarbu kumwomba Mungu akusamehe. Dah pole sana ndugu yangu.
 
Tumia mdarasini na asali changanya kila siku kunywa mara tatu vijiko vikubwa viwli fanya na mazoez hali yako itarud
 
dunia ina mambo. huyo demu anakupendea nini sasa? pesa humpi mashine humpigi? ni bikra au anapigwa hukoo kisha anakuja kukudanganya anakupenda.

by ze way punyeto huweki nia ya kuacha bali unaacha mara moja. sababu since day one ya punyeto unakuwa na nia ya kuacha lkn huachi ukisema uweke nia ya kuacha means unarudi ulikoanzia.

dawa ya punyeto kwanza kabisa tafuta hela japo ya kukuwezesha kununua malaya tu.

kwanini malaya? malaya huitaji kumrizisha yeye ukiwahi kukojoa ndio raha yake awahi mteja mwingine hivyo hutaihisi hatia ya kushindwa kumridhisha mpenzi wako utakuwa ukiangaliaa porn zakoo badala ya pul unaenda kwa malaya unalipia buk 5 yako unakojoa unasepa ikiwezekana tafuta chumba upange jirani kabisa na mageto yao. kuja kuhamaki punyeto ulisha acha na uwezo wa kugegeda umerudi ndio unamrudia demu wako sasa hii ni dawa toka kwa mdhoefu zaidi yako na aliepata uraibu kupita wako uzuri malaya wanajari sana condom means hupati ukimwi.
 
Daah Pole sana ndugu, yani nlishawahi kukutana na mtu mwenye tatizo kama lako aseeh nyie acheni tu, haya mambo yasikie kwa mwenzako tu lakini cku ukikumbana nayo ndio utajua ni jinsi gani hawa watu wa aina hii wanateseka,,, Ucjali ndugu utapona tu wakati wa Mungu ukifika ila usichoke kutafuta SOLUTION!!!!
 
Usitumie smartphone tafuta kisimu cha torch maana hizo porn hata ukifuta ukifika ule muda unaozoea kupiga unazi download tena unajiapiza kabisa Leo hii ya mwisho sipigi tena na kila siku utasema ya mwisho hila nyeto tamu kuliko k
 
dunia ina mambo. huyo demu anakupendea nini sasa? pesa humpi mashine humpigi? ni bikra au anapigwa hukoo kisha anakuja kukudanganya anakupenda.

by ze way punyeto huweki nia ya kuacha bali unaacha mara moja. sababu since day one ya punyeto unakuwa na nia ya kuacha lkn huachi ukisema uweke nia ya kuacha means unarudi ulikoanzia.

dawa ya punyeto kwanza kabisa tafuta hela japo ya kukuwezesha kununua malaya tu.

kwanini malaya? malaya huitaji kumrizisha yeye ukiwahi kukojoa ndio raha yake awahi mteja mwingine hivyo hutaihisi hatia ya kushindwa kumridhisha mpenzi wako utakuwa ukiangaliaa porn zakoo badala ya pul unaenda kwa malaya unalipia buk 5 yako unakojoa unasepa ikiwezekana tafuta chumba upange jirani kabisa na mageto yao. kuja kuhamaki punyeto ulisha acha na uwezo wa kugegeda umerudi ndio unamrudia demu wako sasa hii ni dawa toka kwa mdhoefu zaidi yako na aliepata uraibu kupita wako uzuri malaya wanajari sana condom means hupati ukimwi.
Haa haa haa haa aiseee nmecheka
Sana at akapange karbu na malaya
 
Dhuuuuu Pole aiseeee
8 years hujasmamisha

Kweli punyeto n mbaya
 
Commit ur self pal of not doing it again tumia wikihow ucheki ushauri jinsi ya kuacha
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona ******) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.

Ni Pm
 
UNATATIZO LA KISAIKOLOJIA UNAHITAJI KUPATA MWANAMKE ATAKAYE JUA TATIZO LAKO NA NAMNA YAKUKULIWAZA KWA KUWA NAYE MUDA MREFU MARA KWA MARA.LAKINI ANATAKIWA AJUE KUKUCHEZEA VZR NAKUKUVUMILIA .

Hapa aoe kabisa ili Liwe na baraka za Mungu hilo zoezi sio za shetan
 
Duuuh itakuwa una jini mahaba aseeeh,jaribu na maombi huenda ukaacha hiyo tabia. Effect nyingine ambayo itakupata ni kupungua kwa uwezo wa kuona, Be careful boy utakuja ujute badae
 
Tatizo kubwa kwako lipo kisaikolojia, bt you're a real man, chamsingi acha kuangalia pono kabisa, futa mapicha yote yanayoshawishi, piga tizi daily, kunywa maji mengi, napia jitahidi sana kupunguza stress, you're a real man as long as you erect and ejaculate.
Yah real for sure. ..umeeleweka mzazi...naimani wamejifunza jambo
 
Hapa aoe kabisa ili Liwe na baraka za Mungu hilo zoezi sio za shetan
Kuoa huwa ni solution sana tena upate mtundu kitandani siyo wale wa kusubiri kila kitu uanze wewe.

Ila tatizo huwa linakuja ukiwa mbali na mkeo, unaweza jikuta ushalianzisha tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom