HISTORIA YA WATURUKI (Wazungu waliogeuka waislam na kuchukua fursa kama waroma)

Muhidin Chedo

Member
Apr 1, 2012
25
24
Hapo zamani sana ulaya mashariki,kulikua na kabila moja kubwa sana lilijulikana kama "Slavs".

Hawa walipatikana hasa ulaya mashariki mpaka soviet yote,hawa slavs walikua ni kabila kubwa sana ila lililogawanyika ktk koo ndogondogo (mfano,ni kama wabantu..kuna wabantu waliotoka afrika magharibi hadi kufika tanzania wakaanzisha ustaarabu wao wakaitwa wasukuma au wale wengne waliotoka ethiopia sahv wanaitwa wanyaturu,imebaki story tu walitoka uko ila ukiwambia ni wapi hasa wengi wao leo hawafahamu au hawajui kbs..

Au wale wanubi ambao kwa kenya na tanzania leo tunawajua kama wajaluo na kule sudan kusin wanaitwa wanuer ethiopia wakaitwa waoromo ila asili yao wote ni nubians). sasa hawa waslavs kuna koo moja ambayo ilikua ikinyanyasika sana na kudharaulika ktk miongon mwao, ilikua ni jamii ya hali ya chin sana,walifanywa watumwa na kutopewa hadhi sawa na wazungu wengine..kwakifupi lilikua ni tabaka la chin sana.. miaka ilipoenda s sana, wakati wa uislam kujisambaza dunian hadi kufika ulaya,hawa jamaa walichukua fursa
 
2... Waarabu walipofika na kueneza uislam ..wazungu wengi hawakuwaelewa kabisa ,isipokua hii jamii ya tabaka la chini.. wao waliona hii ndio sehemu ya njia yao ya kujikomboa kutoka kudharaulika ktk jamii yao...

Jamaa waliupokea uislam kwa mikono miwili na kuwasaidia waarabu kueneza dini yao,isipokua wao walijiongeza kwa kuufanya uislam kama nyanja yao kuu ya kimaisha ya kuwatoa ktk kunyanyasika hadi kuheshimika kama jamii nyingine.. waliupokea kwa mikono miwili hadi kupelekea kuanzisha himaya yao kubwa ya ottoman na kutawala sehem kubwa ya dunia..

kwakifupi hawa sio waarabu ila ni jamii ya wazungu pure walioamua kutumia ustaarabu mpya kujikomboa ktk jamii yao..baadae sana walipofika ktk kilele chao na kuanguka ktk vita ya dunia wakabaki na ardh yao ndogo ambayo wanaikalia hadi leo inayoitwa uturuki,isingekua ivyo ata leo tusingekua tunawajua.

Ni kama waroma walivyotumia ukristo hadi kuwa himaya kubwa dunian ... waswahili wanasema "unapopata fursa itumie"
 
2... Waarabu walipofika na kueneza uislam ..wazungu wengi hawakuwaelewa kabisa ,isipokua hii jamii ya tabaka la chini.. wao waliona hii ndio sehemu ya njia yao ya kujikomboa kutoka kudharaulika ktk jamii yao...

Jamaa waliupokea uislam kwa mikono miwili na kuwasaidia waarabu kueneza dini yao,isipokua wao walijiongeza kwa kuufanya uislam kama nyanja yao kuu ya kimaisha ya kuwatoa ktk kunyanyasika hadi kuheshimika kama jamii nyingine.. waliupokea kwa mikono miwili hadi kupelekea kuanzisha himaya yao kubwa ya ottoman na kutawala sehem kubwa ya dunia..

Kwakifupi hawa sio waarabu ila ni jamii ya wazungu pure walioamua kutumia ustaarabu mpya kujikomboa ktk jamii yao..baadae sana walipofika ktk kilele chao na kuanguka ktk vita ya dunia wakabaki na ardh yao ndogo ambayo wanaikalia hadi leo inayoitwa uturuki,isingekua ivyo ata leo tusingekua tunawajua.Ni kama waroma walivyotumia ukristo hadi kuwa himaya kubwa dunian ... waswahili wanasema "unapopata fursa itumie" .Cc:COLUMBIA:BOOK OF WORLD HISTORY
 
vipi kiwango chao cha utambuzi ukilinganisha na wale wenzao wengine!
 
Kwa ninavyofahamu waturuki wapo Ethnic group ya turkic ambayo linaanzia hapo Uturuki mpaka Ughuyr China iki cover nchi kama Uturuki, Azerbaijan, Kazakhstan, Uzbekistan etc.

main-qimg-00ed95cbcc9eaaeb5c9ad9a9c5767577-lq.jpeg

Slav mbao ni waisilamu ni Ulaya Mashariki nchi kama Bosnia, Albania, Kosovo, part Ya Urusi etc.
 
Kwa ninavyofahamu waturuki wapo Ethnic group ya turkic ambayo linaanzia hapo Uturuki mpaka Ughuyr China iki cover nchi kama Uturuki, Azerbaijan, Kazakhstan, Uzbekistan etc.

View attachment 2803794

Slav mbao ni waisilamu ni Ulaya Mashariki nchi kama Bosnia, Albania, Kosovo, part Ya Urusi etc.
Jamaa naona anchanganya mambo. Ethinically Turk siyo indo uropean wala lugha yao haifanani na lugha za wazungu
 
Waturuki siyo wazungu na asili yao ni Asia ya kati hadi magharibi ya china. Ni makabila ya wafugaji wa kuhamhama. Waturuki waliopo Uturuki leo walihamia hapo miaka ya 1000. Miaka elfu moja iliyopita, Juzi tu. Walihamia hapo baada ya kuwa wanapigwa na Wamongoli. Lakini kwa vile makabila ya wafugaji wa kuhamahama wanapenda vita, nao wakawapiga wenyeji waliowakuta hapo, hasa Wakurd na wengine wengi na kuwatawala.
 
NB:Nimeitoa kwa ufupi sana,nikipata muda nitawaeleza..walianzaje,ilikuaje hadi wakawa tabaka la chini na uislam uliwasaidiaje hadi kuinukia na kuwa himaya kubwa dunian.. kwakifupi zile story unazockia wayahudi walivyokua wakinyanyasika na kunyanyapaliwa uwa nahis story yao walikopy kwa hawa jamaa
Muhidin Chado, unachanganya madesa. Uislamu umekuja 500 baada ya mnaemuita nabii Issa (Yesu). Kipindi Yesu anazaliwa Roma ilikuwa ikitawala uko Israeli kwa Wayaudi. Sasa iweje hao Wayaudi waige story toka kwa Waturuki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom