Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 488
Zamani vituo vya kujaza mafuta vilikuwa vinaitwa vituo vya huduma (service station). Unabaki ndani ya gari. Mhudumu anajaza mafuta. Anasafisha vioo anapima oil na vitu vya aina hiyo.
Kwa Marekani vituo vya aina hii siku hizi unaweza kukutana navyo kwenye vituo vya mafuta vya nje ya miji. Sehemu kama Kibaha.
Kwa Tanzania utaratibu huu unaendelea ingawaje hawatoi huduma zaidi ya kujaza mafuta. Huduma nyingine wanayotoa ni kulalamikiwa kuiba mafuta.
Kwa siku hizi mafuta unajaza mwenyewe. Kama wewe ni kibosile unaacha dereva wako akujazie mafuta. Au kama uko na wife wako mara nyingi utaona aibu kumuacha yeye ajaze mafuta hata kama yeye ndio dereva.
Hapo unaikontrol pump mwenyewe na unaweza kulipa hapo hapo kwenye pump kwa kutumia kadi yako. Hapo hakuna lalam za kusema nimeibiwa mafuta.