SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,373
- 2,306
Mzee Msham anaonekana alikua na umri mkubwa kumzidi Mwalimu Nyerere. Pia kutakua na wazee wakati huo walikua wakubwa kuliko Mwl. Nyerere maana anaonekana alikua bado kijana kabisa.View attachment 3643554
Ali Msham wa kwanza kulia na anaefuatia ni baba yake mzazi Mzee Msham kisha Mwalimu
Nyerere Baba wa Taifa akipokea samani mpya kwa ajili ya ofisi yake New Street kwenye tawi la
TANU nyumbani kwa Ali Msham. Nyumba hii ipo hadi leo.
Hii ni 1955.
Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa.
Ikiwa sasa Mwl. Nyerere anatambulika kama Baba wa Taifa, hao wazee wataitwaje? Au ndio Mababu zetu??
Hivi kutakua na Mzee yeyote aliye hai hadi hivi sasa na alikua kwy harakati za uhuru kipindi hicho na alikua labda na umri mkubwa zaidi ya Mwl. Nyerere?? Let's say 10+ years older than Mwalimu??