Historia ya Uganda katika picha

Trillion

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Messages
310
Points
1,000

Trillion

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2018
310 1,000
Msalimie IDD AMIN DADAA mwambie Tanganyika naserikali yake ya awamu ya5, inamuenzi kwa matendo yako yale uliowafanyia waganda sasa yanatimizwa Tanzania .

Wanaomba msamaha wanatambaa kama nyoka ila ”KUSAMEHE INAUMA”

Kutupa Maiti mto kagera/ sisi tunatupa mto ruvu na baharini, kuua kuteka na kupiga risasi, kama NDULI, asante.
 
ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Messages
1,657
Points
2,000

ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2015
1,657 2,000
Tanzania tulitawaliwa na mjerumani baada ya mwingereza kushinda vita ndiyo tukawa chini ya uangalizi wa uingereza
Hii story ya kuwa chini ya uangalizi hii hainaga mashiko, kifupi TULITAWALIWA tu na hao waingereza. Hawana tofauti na wajeruman ni lugha nyepesi waluokua wanatumia mabeberu kufanya wepesi wa maneno na ku justify udhalimu wao
 
ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
495
Points
500

ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
495 500
Kama hujui History usiipotoshe Mwalimu Nyerere alikuwa best friend wa Oscar Kambona hata katika ndoa yake na yule mama wa Kichagga huko London Mwalimu ndie alikuwa best wa Kambona katika ndoa yao_Oscar alitoa mchango mkumbwa kurudisha Askari walio aasi army Mutiny kurudi kwenye barracks zao.Kambona na Mwalimu walitofautiana na Kambona kuhusu siasa za ujamaa.Kambona alimpnga Mwalimu swala la utaifishaji alisema nchi yetu bado masikini kutaifisha viwanda vilivyopo vichache kutadidimiza uchumi
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Haikuwahi kuwa koloni sijaelewa
Sky Eclat rekebisha kidogo hapo kuwa Uganda haikuwahi kuwa Koloni kwani kwa Kauli yako hii Hadhi yako hapa Jamvini inaweza kuanza Kushuka. Kama Uganda haikuwahi kuwa Koloni je, Waingereza waliokuwa huko muda mwingi na Kenya wao walikuwa ni nani? Na usisahau kwamba hata Kihistoria tunaambiwa kwamba Waingereza walikuwa Koloni kubwa wa hizi nchi za Afrika Mashariki kupitia ile ' Scramble and Partition of East Africa ' hadi baadae wakawashinda nguvu waliokuwa Wakoloni wetu wa Kwanza Watanzania ambao ni Wajerumani kisha ndiyo Wao ( Waingereza ) wakawa Wakoloni wetu.
 
ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
495
Points
500

ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
495 500
Historical background ya Uganda na Tanzania zinatofautiana.Waganda wao wanaamini uongozi wao wa jadi/ufalme ndio uongozi unaoweza kuwaletea maendeleo na usalama.Ndio maana Museveni aligundua hilo waganda aliwakubalia wawe na falme zao za kijadi .Wale watawala wa zamani kama waziri mkuu wa kwanza Chief Justice Benedicto Kiwanuka na Rais Obote tawala zao hazikudumu kutokana na kuwapuuza hao wafalme wa kijadi.Ukitaka kuwa kiongozi mzuri jivunze HISTORY NA UCHUMI MAANA UTAFANYA REFERENCE
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,248
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,248 2,000
Sky Eclat rekebisha kidogo hapo kuwa Uganda haikuwahi kuwa Koloni kwani kwa Kauli yako hii Hadhi yako hapa Jamvini inaweza kuanza Kushuka. Kama Uganda haikuwahi kuwa Koloni je, Waingereza waliokuwa huko muda mwingi na Kenya wao walikuwa ni nani? Na usisahau kwamba hata Kihistoria tunaambiwa kwamba Waingereza walikuwa Koloni kubwa wa hizi nchi za Afrika Mashariki kupitia ile ' Scramble and Partition of East Africa ' hadi baadae wakawashinda nguvu waliokuwa Wakoloni wetu wa Kwanza Watanzania ambao ni Wajerumani kisha ndiyo Wao ( Waingereza ) wakawa Wakoloni wetu.
Pamoja na kuinyemelea Uganda kwa muda mrefu lakini Muingereza alipewa dhamana ya kuwa mlezi tu wa Uganda. Tena kama Kabaka angekua na elimu na uelewa mpana angewabana zaidi .

Pamoja na kutawala lakini Uingereza haikuwa huru kugawa ardhi ya Uganda na Tanganyika kwa white settlers kama ilivyofanya Zimbabwe na Kenya.
 
An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,481
Points
2,000

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,481 2,000
Pamoja na kuinyemelea Uganda kwa muda mrefu lakini Muingereza alipewa dhamana ya kuwa mlezi tu wa Uganda. Tena kama Kabaka angekua na elimu na uelewa mpana angewabana zaidi .

Pamoja na kutawala lakini Uingereza haikuwa huru kugawa ardhi ya Uganda na Tanganyika kwa white settlers kama ilivyofanya Zimbabwe na Kenya.
Kwahiyo niiamini Historia yako hii hapa au ile ya Mwalimu wangu wa Kiganda Mr. Sekatawa na Mwenzie Madam Nankunda?
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,248
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,248 2,000
Kwahiyo niiamini Historia yako hii hapa au ile ya Mwalimu wangu wa Kiganda Mr. Sekatawa na Mwenzie Madam Nankunda?
Za kuambiwa changanya na zako.

Waingereza walifanikiwa kumrubuni Kabaka mpaka akawa mfuasi wa Church of England na watoto wake kusomeshwa Cambridge
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
4,908
Points
2,000

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
4,908 2,000
Za kuambiwa changanya na zako.

Waingereza walifanikiwa kumrubuni Kabaka mpaka akawa mfuasi wa Church of England na watoto wake kusomeshwa Cambridge
Dada yangu Sky , najua kwa Afrika Mashariki makoloni ambayo yalikuwa chini ya uangalizi ni matatu tu,Tanganyika chini ya Uingereza , Burundi na Rwanda chini Mbelgiji na hii yote baada ya Makoloni wetu Mjerumani kushindwa Vita 1918.Wenzetu Uganda na Kenya walikuwa na makoloni wao yule yule Mwingireza.Kw
 
Forum statistics

Threads 1,343,539
Members 515,077
Posts 32,788,091
Top