Historia ya Uganda katika picha

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,249
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,249 2,000
1568521087153.jpeg


Uganda ni nchi ambayo haikuwahi kuwa koloni. Ingawa ilikuwa na mgawanyiko mkubwa wa kiimani. Uislam uliingia Uganda kutoka Kaskazini pia wafanyabiashara wa Kiarabu kutoka Pwani ya Afrika Mashariki walianza kueneza dini kutoka 1844.

Mwaka 1878 White Fathers French Missionaries waliingia Uganda na kueneza Ukatoliki.

Vita vya wenyewe kwa wenyewe juu dini vilizuka Uganda, Uingereza ili Iliisaidia Church of England katika vita na pia ilipeleka ripoti League of Nations kuhusu matukio ya vita vya mara kwa mara Uganda. Uingereza iliamuliwa kuwa Guardian wa Uganda.


Waingereza walitawala kupitia viongozi wa watawala wa jadi. Picha hapo juu inawaonyesha watawala wa makabila ya Uganda 19000.

Hali ilizidi kuwa mbaya Baganda, Kabaka alipowauwa watu 22 waliojiunga na dini ya Ukatoliki na Anglicana mwaka 1888.

1568533595679.jpeg


Ikulu ya Kabaka ilijengwa Mengo Hill Lubiri.
1568533981362.jpeg


 

Forum statistics

Threads 1,343,525
Members 515,078
Posts 32,787,439
Top