Haikuwai kuwa koloni kivipi? Unamaanisha haikutawaliwa au?View attachment 1207833
Uganda ni nchi ambayo haikuwahi kuwa koloni. Ingawa ilikuwa na mgawanyiko mkubwa wa kiimani.
Akikujibu nami nishitueHaikuwahi kuwa koloni sijaelewa
Hapana kwa kweli we upo kushoto sana na historia post kingineBritain ilikuwa guardian wa Uganda
Ila ukweli ni upi?Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Huyu dada toka aanze ushabiki wa kisiasa amekua vingine kabisa,sio kama alivyokua mwanzo.Sijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Sijajua tu jinsia yake ningemtukana kulingana na jinsiyeSijawahi kuona mtu mpotoshaji km huyu jamii forum
Aliwahi kuleta uzi kumzushia Nyerere alikuwa msimamizi wa ndoa ya Kambona
Du na Tanzania piaBritain ilikuwa guardian wa Uganda
Tanzania tulitawaliwa na mjerumani baada ya mwingereza kushinda vita ndiyo tukawa chini ya uangalizi wa uingerezaNdiyo