The Ghost Scripter
Member
- Feb 28, 2022
- 78
- 74
Sure, tech haishindwi kitu.That was staged.even so, there is no clear separation of the lower and the upper body (the waist )
That was staged.even so, there is no clear separation of the lower and the upper body (the wai
Ingawa kwa namna nivoiona video, Hakuna visual effects hapo, siyo CGI hiyo wakuu...Sure, tech haishindwi kitu.
Hamna kitu hapo ukiangalia hiyo video utagundua ni mtoto kaingizwa kwenye mdomo wa samaki. Maana inaonekana kabisa mdomoni kwa samaki kuna gaps. Na unaona hiyo ngozi ya mtoto ni safi kabisa kwa maana huwa anaogaHabari wakuu, nawasalim woote!
Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu walikuwa walikuwa wamemzunguka ili kumshangaa! Nilipomuuliza aliyeweka hiyo status kwaajili ya ufafanuzi; alinambia Ni Kenya hiyo. Sababu ya kuleta uzi huu ni angalau kufahamishwa kama huyu SAMAKI MTU ni halisi, au is beyond uhalisia (Imani za giza) zimehusika? Au hata kama sio beyond uhalisia, historian ya SAMAKI MTU imekaaje wakuu?
Kama SAMAKI MTU ni halisi basi ungekuwa Ni busara sana watu wangefanya maamuzi ya kumrudisha kwenye maji muda mfupi tu baada ya kumshangaa (Nawaza tu)...
View attachment 2181195
View attachment 2181196
So samaki mtu kashonea na weaving sio.. Haya bhana..Habari wakuu, nawasalim woote!
Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu walikuwa walikuwa wamemzunguka ili kumshangaa! Nilipomuuliza aliyeweka hiyo status kwaajili ya ufafanuzi; alinambia Ni Kenya hiyo. Sababu ya kuleta uzi huu ni angalau kufahamishwa kama huyu SAMAKI MTU ni halisi, au is beyond uhalisia (Imani za giza) zimehusika? Au hata kama sio beyond uhalisia, historian ya SAMAKI MTU imekaaje wakuu?
Kama SAMAKI MTU ni halisi basi ungekuwa Ni busara sana watu wangefanya maamuzi ya kumrudisha kwenye maji muda mfupi tu baada ya kumshangaa (Nawaza tu)...
View attachment 2181195
View attachment 2181196
wewe umewaza kama mimi,sijaona chuchu saa sita hapo chuchu za kinyonya.Mbona hakana matiti