😂😂😂 basi nitampeleka chief asili akale arudi kulala
Pestana ulienda? Ila ni kweli sehemu kama pestana, malaika, platinum huwezi fananisha na cocoriko ya Arusha.Dodoma haina maajabu, nimezunguka viunga tajwa vyote sikupaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu hatoboi ni Asiyejulikana
[emoji23][emoji23][emoji23] Niko hapaZero yu wapi jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Pestana ulienda? Ila ni kweli sehemu kama pestana, malaika, platinum huwezi fananisha na cocoriko ya Arusha.
AsanteKaribu cocorico mamiloo
Nipo double tot hapa ( liquor store) siendagi mbali MimiUpo wapi nije nikuchukue na Range Rover yangu
Pestana ulienda? Ila ni kweli sehemu kama pestana, malaika, platinum huwezi fananisha na cocoriko ya Arusha.
Khee! Sehemu kama zile unaanzaje kwenda mwenyewe? Company muhimu mkuuPestana at least palikuwa fair kwa mzee kama mimi, nafikiri ile ya kwenda mwenyewe mwenyewe ilichangia nipaone pa kawaida
Nipo double tot hapa ( liquor store) siendagi mbali Mimi
Nipo baharia wa domMabaharia wa Dodoma nimeingia mji wenu jioni hii naombeni Code zenu
Njoo uone kwanini nakujaga hapaKwa nini?
Njoo uone kwanini nakujaga hapa