Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,374
- 3,394
Mkuu hicho kitu alivho nacho hapaswi kuki poteza nizawadiMnamaagano makubwa...
Unakazi kubwa ya kuyavunja...
Ila usimame upande mmoja, isiwe Leo kwa Mungu kesho kwa mganga...
Utawehuka...
Mkuu hicho kitu alivho nacho hapaswi kuki poteza nizawadiMnamaagano makubwa...
Unakazi kubwa ya kuyavunja...
Ila usimame upande mmoja, isiwe Leo kwa Mungu kesho kwa mganga...
Utawehuka...
ThanksPole sana MzeeKipusa njoo PM mzee wangu , nisamehe nilikuwa nikiona mambo yako nikahisi changamsha genge ila sasa nimekujua na nimeshakutambua .
Njoo Dm walau tuendelee kugawana kidogo baba .
Pole sana kwa yote japp dunia duara sikujua kama wewe ndiye wa leo hakika Maisha ni duara
Kitu gani alichonacho..?Mkuu hicho kitu alivho nacho hapaswi kuki poteza nizawadi
Ukiona kiza kimezidi jua kunakaribia kukucha so worry outNote: Katika maisha yangu , nimewahi kuwa homeless mara kadhaa. Na kwà kua ninayo kadi ya bima ya Afya....mateso yalipokua yakinidi Hasa baridi na njaa) ...nilikua naitumia kwenda kupata hifadhi kwenye wodi ya wagonjwa...kwa siku kadhaa. Hospital yeyote wakinikubalia natulia pale.
Nimefanya Kazi ndogo ndogo nyingi sana kukeep up na maisha....lakini to no avail.
Huna kosa...Nimewahi kuishi katika stand kubwa kubwa za mikoa tofauti...kwenye majumba ya Wasafiri. Nimelala sana kwenye mabenchi.
Nimewahi kutembea kwà miguu kuanzia Asubuhi mpaka usiku , maeneo tofauti tofauti hapa TANZANIA. ( Kwasababu ya Kukosa nauli ya bus )
Nimejishughulisha kufanya Kazi ndogo ndogo nyingi uzijuazo wewe..but to no avail.
Nimesotea Kazi sana migodini. Kiufupi nimepambana sana...kutafuta ridhiki...mpaka kariakoo nilitaka kujaribu kulalia box ...
Sijui NIMEMKOSEA NINI MUNGU wangu.
AmenUkiona kiza kimezidi jua kunakaribia kukucha so worry out
God knows the bestHuna kosa...
Ila kosa wanalo ukoo wako...
Kitu gani?Mkuu hicho kitu alivho nacho hapaswi kuki poteza nizawadi
Maneno Yako yameupasua mfuko wa machozi...Wewe ni special mkuu lakini taifa letu wachumia matumbo Hawa sizani Kama watakukumbuka
Ila Kila raheri Nina imaninpost yako haita pita bure![]()
..daah maisha haya !!! Daah.... Lord have mercy!Wakati unakuja ambao utakumbukwa na Mungu, maana neno la Mungu linasema;Maneno Yako yameupasua mfuko wa machozi.....daah maisha haya !!! Daah.... Lord have mercy!
I do alot of meditation. Alot my brother...Shida inaweza kuwa hapa,Unaweza kuwa kwenye Midlif Crisis ya mapema,au Fortunes zako zimekaa vibaya,Jaribu kufanya meditation kwa wingi,kama unatumia kilevi chochote acha kabisa,Na uache tabia ya kuwaza shida na magumu unayopitia na badala yake tazama ule wema ambao Mungu anakutendea.Mengine Tayari unayajua ya kufanya
AminaWakati unakuja ambao utakumbukwa na Mungu, maana neno la Mungu linasema;
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu
UTASHUHUDIA hapa...
Sorry ni Mambo ya keyboard mkuu nazungumzia hicho kipaji Nikila kitu hupaswi kuki poteza Wala kukata tamaaKitu gani?
😥😥I do alot of meditation. Alot my brother...
I am a kind of a person who can watch and learn.
It's like there's an invisible being inside me who is teaching anything I want to know.
Mimi sio mlevi , sio mzinzi....kuna mambo tulifundishwa seminary ...na siwezi kuenda kinyume nayo.
Nikiwa na mpenzi mmoja , ni huyo huyo. Sivuti sigara wala bangi.
Najitahidi sana kuishi a decent life
Note: Na ukiniona sasa , unaweza kufikiri sina shida...maana njia ninayoitumia ni kuyafanyia mawazo meditation. Bila hivi ningekua nimekonda sana na kuisha kabisa.
ThanksSorry ni Mambo ya keyboard mkuu nazungumzia hicho kipaji Nikila kitu hupaswi kuki poteza Wala kukata tamaa
Nina hakika hufanyi ile meditation yenyewe mkuu..try pia Yoga.I do alot of meditation. Alot my brother...
I am a kind of a person who can watch and learn.
It's like there's an invisible being inside me who is teaching anything I want to know.
Mimi sio mlevi , sio mzinzi....kuna mambo tulifundishwa seminary ...na siwezi kuenda kinyume nayo.
Nikiwa na mpenzi mmoja , ni huyo huyo. Sivuti sigara wala bangi.
Najitahidi sana kuishi a decent life
Note: Na ukiniona sasa , unaweza kufikiri sina shida...maana njia ninayoitumia ni kuyafanyia mawazo meditation. Bila hivi ningekua nimekonda sana na kuisha kabisa.
Ufe salama.Najua naenda kufa soon.
Kimaisha , najiona kama nipo kwenye comma, ICU, napumulia mashine . Tried to do alot of stuffs but doesn't work out!!!
Siwezi kufanya Yoga...., cause najua side effects zake.Nina hakika hufanyi ile meditation yenyewe mkuu..try pia Yoga.