Nenda kwa wapemba wanafuga majini na wanauwezo wa kuyaitaNinamaanisha vibaya mbo. Nimechoma misgumaa na ubani usiku wa manane nawaita hawaji. Choma saana udi mpaka nikaambulia mafua makali lakini kweupe.. Nisaidieni jamani ndugu yenu nipate jini zurii la kike,
Vigezo..
Liwe jeupe
Jembamba
Refu kidogo
Lenye nywele ndefu
Liwe na asili ya kiratini
Lisiwe na nyash kubwa sana.
Yeyote atakaeliona hili jini anicheki. Donge nobo la pesa litatilewa.
Hapo kwenye ku depend na power yake si ndio kwamba kuna wengine power zao ndogo ni rahisi ku deal nao.First of all ili kumshinda Ina depends na power yake na kama hatokei katika chimbuko la ukoo it's easy to defeat him / her kinyumr na hapo utaula wa chuya
Saana meditation zote zinahusika na kuvuta majini ili yakutumikie kuanzia kuvuta rozali mpaka tasbihKwahiyo unataka kusema viongozi wakuu w dini wana elimu kubwa ya kuhusu hawa majini?
Duhh anateseka sana na alikuwa binti wa form 2 anatupiwa kisa nini sasaHayo ni mashetani huenda alitumiwa na mtu na wapemba wengi ndio hutuma majini kwa watu
Huyo Sasa amekukumba tu hakuwa na lengo na wewe la kudumuHapo kwenye ku depend na power yake si ndio kwamba kuna wengine power zao ndogo ni rahisi ku deal nao.
Duhh hili nalo jipya kwangu mzee!Huwezi kupambana na jini Mzee trust me
Maybe awe anatoka Out of bloodlines na ukitokea ukafanikiwa kumshinda lazima akuachie balaa zito
Mfano kukosa uzazi , kuwa fukara , maskini wa kutupa , kukosa kazi ilhali una potential maradhi , and maradhi mpaka kifo kutoishi na mume au mke yaani hukai na wanawake au kama ni ke hukai na wanaume Kila wakati unaachika au huolewi kabisa
Ni rahisi kumshinda jini yule ambaye imetokea ametamani tu kukutawala bila ya kuwa na connection yoyote ile na wewe yaki- genetics , so hao wa hivyo Huwa hawasumbui sana , ila akisja kuwa anatokea kwenye ukoo hapo shughuli unayo ukishindana nae basi jiandae kuwa fukara wa kutupwa au kufikwa na mikosi yote mizito na mambo yenye mfano na hayo
Majini ndio wenye diniKwahiyo majini nao Wana dini
Hayo mambo mazito Mzee hamuwezi kuyajuaDuhh hili nalo jipya kwangu mzee!
Mkuu hapo unakusudia mizimu? Kama ni hivyo basi ipo mizimu yenye kusumbua ambayo inaweza kudhibitiwa.Huwezi kupambana na jini Mzee trust me
Maybe awe anatoka Out of bloodlines na ukitokea ukafanikiwa kumshinda lazima akuachie balaa zito
Mfano kukosa uzazi , kuwa fukara , maskini wa kutupa , kukosa kazi ilhali una potential maradhi , and maradhi mpaka kifo kutoishi na mume au mke yaani hukai na wanawake au kama ni ke hukai na wanaume Kila wakati unaachika au huolewi kabisa
Ni rahisi kumshinda jini yule ambaye imetokea ametamani tu kukutawala bila ya kuwa na connection yoyote ile na wewe yaki- genetics , so hao wa hivyo Huwa hawasumbui sana , ila akisja kuwa anatokea kwenye ukoo hapo shughuli unayo ukishindana nae basi jiandae kuwa fukara wa kutupwa au kufikwa na mikosi yote mizito na mambo yenye mfano na hayo
Dah ila waarabuIt was reported that bones are food for the jinn. Among the Ahaadeeth that are reported in this regard is the Hadeeth reported by Muslim that the jinn asked the Prophet for food and the Prophet replied:
βYou will have every bone on which the name of Allaah has been mentioned; when it falls into your hands, it will be covered with flesh. And the dung (of the camels) is fodder for your animals.β Then the Prophet said (to his Companions): βDo not use them (bones and dung) to clean yourselves after relieving yourselves, for they are the food of your brothers (jinn).β [Muslim]
Majini hula Mifupa na vinyesi vya wanyama vyetu ni vyakula vya wanyama wao. Ulimwengu wao ni tofauti na ulimwengu wetu...Unapokula nyama na kisha kubakisha mifupa na kuitupa ile mifupa Mungu huivika tena nyama na kuwa chakula cha majini.
Hivyo haifai kujisafisha kwa kutumia mifupa baada ya kutoka haja maana unakinajisi chakula cha majini.
Pia mashetani (majini waovu) hula chakula ambacho mtu hajatamka jina la Mungu kabla ya kuanza kula.
Mzee Unaujua mzimu vizuri kwanza !? Acha masihara basiii πππMkuu hapo unakusudia mizimu? Kama ni hivyo basi ipo mizimu yenye kusumbua ambayo inaweza kudhibitiwa.
Huyo Wala hajatupiwa Wala Nini !? Huyo ana sumbuliwa na hiyo genetics yake yatakuwa yanamtaka awatumikieDuhh anateseka sana na alikuwa binti wa form 2 anatupiwa kisa nini sasa
Ukiuwacha Uislamu kwa sharia za Kiislamu unatakiwa uuliwe:Kwahiyo baadaye ndio wengine wakaacha uislamu na kuwa mizimu?
Majini hufuata au kuiga mambo mengi ya binaadamu na mazingira husika.Kwahiyo majini nao Wana dini
Kama mimi ndio sijui kabisaa, hebu nielezee ayatumikie kufanya nini? Naona wamemzungusha kila kona ya Tz ila hajasaidika yupo tu hajielewi kwakweliHuyo Wala hajatupiwa Wala Nini !? Huyo ana sumbuliwa na hiyo genetics yake yatakuwa yanamtaka awatumikie
Ila watu wengi haya mambo hawajui ππ
Ila mfano kwenye uislamu wenye kujua mambo yenye kuhusu majini sio katika masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini na viongozi wa dini, wenye kujua elimu za majini wengi ndio hawa wanaitwa waganga na huwa hawana sana elimu ya dini huwa wanasema elimu ya dini na tiba ni tofauti.Saana meditation zote zinahusika na kuvuta majini ili yakutumikie kuanzia kuvuta rozali mpaka tasbih
NdioKwahiyo majini nao Wana dini
Nimekwambia hawezi kupona huyo ,Kama mimi ndio sijui kabisaa, hebu nielezee ayatumikie kufanya nini? Naona wamemzungusha kila kona ya Tz ila hajasaidika yupo tu hajielewi kwakweli
Meditation it depends na meditation ipiIla mfano kwenye uislamu wenye kujua mambo yenye kuhusu majini sio katika masheikh wakubwa waliyosoma sana elimu ya dini na viongozi wa dini, wenye kujua elimu za majini wengi ndio hawa wanaitwa waganga na huwa hawana sana elimu ya dini huwa wanasema elimu ya dini na tiba ni tofauti.
Na kuhusu meditation mbona imefanyiwa hadi tafiti za kisayansi na kuonekana ina faida zake kiafya, hivyo si kwamba ufanyaje wa meditation kiujumla hauna maana ya kujihusisha na majini bali inategemea na wewe unaitumiaje tu mwenyewe hiyo meditation?