Historia ya Lucifer


Hizo video ni kwel au ni movie tu mkuu mana dah sijaelewa
 
Ni ujumbe maalumu kutoka umoja wa mataifa United Nations
mwamba em endelea na mada yako ..sijatoshekaa mkuu.kwanza nikushukuru kwa nondo ka hizi ila ungekazia kwa upana kuhusu zinaaa ingekua bomba sana maana naona ndo core ya kila kitu kulingana na mada yko

piaa ujaeleza kuhusu mungu tunae mwabudu.ulisema ni idea za hao viumbe.ukimaanisha hatumuabudu babu wa mbingu kama vitabu vinavyotuambia.

nina swali?
1
vp babu wambinguni anauwezo wakujua moyo wa mtu .awazacho na atamaniacho kama tunavyoelezwa kwenye bible
2
ko unataka utuambie tuanze kufanya mapenzi at 40..as wasemavyo life begins at 40.tukae tusidinyanee?

3
tunaomba utueleze how agent washetani wanatumika .na nijinsi gan lucifers wana extract manii zetu na how wanazitumia.

4
vipi mwanaume hawezi kutumika kama agent wa lucifers..je hakuna wanacho kihitaji kwa mwanamke

5
msimamo wako katika imani ni upi ?kwakua umesema unajua mengi vipi ww una mwamini nan? vip kuhusu mizimu ya mababu zetu

6

em maelekezo ya vitabu au sehem unayokusanya nondo kali kama hizi. tueleze kama una yaotaa
au kuna mahali unasomaga..au umezaliwa nayoo

karibu kwenye mada mkuu
 
Hebu shusheni madini ili na sisi tusiojua tuambulie kitu.
 
Kwa hakika wewe Ni great thinker
 

Mkuu kwanza umeuliza maswali critical sana. Nitaweka mada ambayo umeuliza maswali yako yote
 
Masimulizi mengine sio tu vihoja ni uwendawazimu

Narudia tena ni uwendawazimu kwa mtu mwenye akili timamu anayeishi karne ya 21 kuamini masimulizi ya aina hii
Mbona wewe simulizi za biblia na korani umeziamini?..

#MaendeleoHayanaChama
 
Angalia hii hapa ndo utajua hawa reptilian shape shifters tunaishi nao na lengo lao ni kujifananisha na watu wanadamu. Hii ni ya watoto


Hii nayo vip mkuu mbona kama wanatuandaa kukubali mazingiq ya hawa viumbe
 
Nimeishia kusoma pale uliposema et lengo lao hao mashetani ni kuua watu wote duniani na kuifanya kuwa makao yao huku wakiwafanya watu kuwa watumwa.
Swali, watatawalaje watu waliokufa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…