Historia ya Lucifer

mkuu tatizo watu hawaelewi ya kwamba hapa Duniani kuna wakazi halisi ambao ndio sisi na mijusi watu wa kidrako wavamizi waliotoka anga za juu Toka kale na ndio waanzilishi wa ustaarabu wa civilization za mwanzo Kama Assyrian, Sumerian, Babylon,misri Aztec,Hindus valley nk
Na walijitahidi Sana kufanya cloning wafanane na watu wakazi halisi wa Dunia yetu Ili wakamilishe project zao ila Kwa bahati mbaya kabla hawajakamilisha project zao hua wanageukana na kuvurugana wakigombea utawala wa Dunia ila jambo la kufurahisha ni Kwa baadhi Yao walikua na huruma wanaungana na watu na kusababisha mkanganyiko na mvurugano na kusababisha project kufeli
Baadae wakaja na mbinu za mupandikiza vinasaba vyao Kwa watu wengi Sana Ili lengo lao litimie Leo baada ya hilo kutimia wanakuja na New World Order kukamilisha tunangoja Kama safari Hii wataweza timiza hii agenda Yao!
 
Duuh aisee ama ndio maana wametuletea COVID ili watuchanje tuwe reptilians kama wao ili NWO itimie!?
 
Rudia kusoma ulichoandika kwa umakini
 
Dah! Hayo majina uliyoyataja ndio yaliyonichanganya.
Nadhani ni ndoto ndio umetusimulia.
 
Duuh aisee ama ndio maana wametuletea COVID ili watuchanje tuwe reptilians kama wao ili NWO itimie!?
Hawa jamaa Wana mbinu Sana hii Covid nadhani ni kama utangulizi wa ajenda zao maana wamefanikiwa kutengeneza kitu ambacho kitaitetemesha Dunia nzima,mataifa yote jamaa zote na kabila zote wameungana katika hili swala la uviko Kwa pamoja na kampeni kabambe za chanjo wangine wakikubali,wengine wakipinga ila wote wapo Kwenye hoax na hofu huwezi amini Hadi wale magaidi na majangiri wapo Kwenye system wanazifuata rules za corona Kwa kuvaa barakoa na kuchukua hatua zote na wamefanikiwa 😁😁😁
Kitakachofuata Sasa ni wataleta tukio lenyewe la New World Order hakuna mtu atapinga maana watu wote watakua wamoja Kwenye maswala ya mhimu hakuna mtu atapuuzia asije kutwa na madhara bila Hata kushurutishwa na mtu wewe mwenyewe utaungana nao Kwa usalama wako bila Hata kutumia Nguvu watakua wamefanikisha serikali Moja ya kidunia yatatimia tupo Kwenye uvumbuzi wa AI project Kila mtu lazima aingie Kwenye system Ili kurahisisha maisha kupitia mambo yooote ya mhimu Kwa binadamu!
 
Jaribuni kushibisha haya maoni yenu kwa kuandika hata reference ya vitabu mlivyo soma.

Kila mtu anasema nimechimba nimechimba hivyo vitabu mlivyo chimba si muviweke hapa na sisi tujiridhishe na waandishi pamoja na kilicho andikwa
 
nyie jamaa
 
usipende tafuniwa Kila kitu nenda Hata Wikipedia Anza kuwachimba kiundani Annunaki hizi information zote zipo ila Kama una kichwa kigumu itakua ngumu kuelewa ila kama ni mtu wa historia utaconect dot!
 
Kwamba tuamini yako hii nyingine ni umbumbumbu
 
Lucifer ni ile nyota ya asubuhi inayong'aa sana, ndo inaitwa lucifer,, lakini kama sikosei yesu pia katika ufunuo ameitwa , nyita ya asubuhi,,
Lucifer haina uhusiano na shetani,, ni nyota itoayo mwanga,, ndo masna katika maombi kuna msemo wanasemaga Mwanga wa bwana ukuangazie....
Kuna picha za bwana wetu yesu, katika baada ya vitabu humchora huku kichwani kyna mviringo kama wa mwanga,,
Hata bikra maria pia huchorwa hivyo
 
Mmekasirika nini naona mnataka hata kumuua mleta mada! ? Ni hii mada mmekasirika hivi hadi mnataka kufanya mauaji ya kutisha au stress za maisha
Tumekasirika kwa sababu anatu discourage tusipate utelezi a.k.a sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…