Historia ya Lady JayDee

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
Jana nilienda nyumbani lounge pale,jide alikuwa anazindua single yake mpya inayokwenda kwa jina la HISTORIA,ki ukweli imetulia sana,ni wimbo unaohusu maisha na historia ya kawaida ya mwanadamu kabla na baada ya kifo,for me its another bomb...big up jide..soon itakuwa on radio stations

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
  • Ngoja tuisubiri.
  • Je huo wimbo ni mzuri zaidi ya wimbo wa YAHYA? Kama ni ndio sipati picha video yake itakuaje.
 
Last edited by a moderator:
  • Ngoja tuisubiri.
  • Je huo wimbo ni mzuri zaidi ya wimbo wa YAHYA? Kama ni ndio sipati picha video yake itakuaje.

Historia is a bomb,yahaya inasubir

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  • Ngoja tuisubiri.
  • Je huo wimbo ni mzuri zaidi ya wimbo wa YAHYA? Kama ni ndio sipati picha video yake itakuaje.

Hivi kweli huna uwezo wa kununuwa albamu kwa shilling 5000 tu? hii dezo dezo itawapeleka wapi? kama wewe ni mshabiki kweli wa Jide nunuwa albamu na hiyo nyimbo ipo humo.
 
Last edited by a moderator:
[h=3]Maisha ya awali[/h]Judith Wambura alizaliwa mkoani Shinyanga mnamo tarehe 15 Juni,1979 kwa Martha na Lameck Isambua Mbibo ambao ndio wazazi wake. Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka saba. Alianzia kuimba kanisani kama ilivyo kwa wasanii wengi. Baada ya kumaliza shule, Lady Jaydee aliwahi kufanya kazi Clouds FM kabla ya kuamua kujiingiza kwenye masuala ya muziki hapo mnamo miaka ya 2000

[h=2]Shughuli za muziki[/h] Alianza kujibebea heshima katika medani ya muziki kunako mwaka wa 2000 baada ya kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la "Machozi" na kutoa single kadhaa kutoka katika albamu hiyo na kumfanya kuwa mwanamama wa kwanza katika bongo flava kwa kutumia gharama kubwa ya ujenzi wa albamu katika historia ya muziki wa kizazi kipya.
Lady Jay Dee ni msanii mwenye kumiliki studio yake mwenyewe ya kurekodia. Studio inakwenda kwa jina la Jag Records.
Jay Dee, alishawahi kuchaguliwa kuwa Mwanamuziki Bora wa Kike wa Tanzania kwa muziki wa R&B mnamo 2002, na kutumbuiza katika Kora All Africa Designers Competition, na kutuzwa "Albamu Bora ya R&B" katika Tuzo za Muziki Tanzaniakunako tar. 6 Agosti 2004. Kunako mwezi wa Julai 2005, ameshinda tuzo ya "video bora ya msanii wa kike kwa Afrika Kusini".
[h=2][/h][h=2] [/h]"Lady jy dee amebahatika kuolewa na mmojawa watangazaji wa clouse media Gardner G Ambashi."
[h=2][/h][h=2][/h][h=2][/h][h=2]Muziki[/h][h=3] Albamu zake[/h]Jay Dee, ametoa albamu nne za muziki:

  • Machozi (2000)
  • Binti (2003)
  • Moto (2005)
  • Shukrani (2007)

Lady Jay Dee amepata mafanikio makubwa kutokana na kupewa mchango mkubwa toka kwa wanafamilia wake.
 
Back
Top Bottom