TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Anamsemea Buji aligombea udiwaniLizu au
Anamsemea Buji aligombea udiwaniLizu au
Nitarudi Mafia Lodge na ile Bar ya Mapozi.![]()
kuna Moams siku hizi!!!Anamshinda Kimario???Hapo Mapozi bar kuna jamaa anachoma mbuzi kinomaaaa...Rich Mbuzi![]()
Yule mtu wako hujakutana nae tena????![]()
![]()
![]()
rasta nyoka
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hawajaweka condom vyumbani au?!Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
hahahahaahahah, halafu wee Mshana jr, naomba ushauri wako kwenye ile thread yangu ya ndegu bundi, kweli jana sikulala kabisa kanipigia kelele muda mrefuSikuingia![]()
![]()
Duu sijaiona naomba unitaghahahahaahahah, halafu wee Mshana jr, naomba ushauri wako kwenye ile thread yangu ya ndegu bundi, kweli jana sikulala kabisa kanipigia kelele muda mrefu
Ningependa sana kupata historia ya Kisiwwa cha TUMBATU maana ni kisiwa maarufu sana kwa ZANZIBAR.LOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)
WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,
UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi
*******Karibuni sana kisiwani mafia******
Mara ya mwisho Kimario alikuwa Container bar,jamaa ana meno ya R Chuga ni hatari kwa mbuzi rosti.Anamshinda Kimario???

Kapata kijiwe kingine karibu na Beach...Mara ya mwisho Kimario alikuwa Container bar,jamaa ana meno ya R Chuga ni hatari kwa mbuzi rosti.![]()
.... Huyo huyoKama nitapata safari ya kuja Mafia itabidi nimcheki jamaa, mara ya mwisho nauli ilikuwa 120,000/ Tropical flight,sasa hivi imefika ngapi?Kapata kijiwe kingine karibu na Beach...![]()
![]()
.... Huyo huyo
Ooh ok... Sasa ni 125,000...Kama nitapata safari ya kuja Mafia itabidi nimcheki jamaa, mara ya mwisho nauli ilikuwa 120,000/ Tropical flight,sasa hivi imefika ngapi?
LOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)
WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,
UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi
*******Karibuni sana kisiwani mafia******
Kama nitapata safari ya kuja Mafia itabidi nimcheki jamaa, mara ya mwisho nauli ilikuwa 120,000/ Tropical flight,sasa hivi imefika ngapi?
Panda Mv. Nyamisati uone raha zakeOoh ok... Sasa ni 125,000...