Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,569
Mwarabu toleo la mwishoLizu au
Mwarabu toleo la mwishoLizu au
HahahahaUweze kuvua samaki na kuangua nazi...
YeahKwa hyo hawana lugha ya asili
Nitarudi Mafia Lodge na ile Bar ya Mapozi.Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone


Hapo Mapozi bar kuna jamaa anachoma mbuzi kinomaaaa...Rich Mbuzi

colonel kimbau ndio alikuwa mbunge kule muda mrefu sanaMwarabu toleo la mwisho
Ukiona mahali Mchagga kapashindwa------Ni wagunya ndo maaruf, ila pia kuna wandengereko, wamwela, wamatumbi,wamakonde..na sasa kuna ongezeko kubwa la wasukuma na wanyamwez pia waha
...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?Duka je kama mini supermarket kwa mbele nyuma ni gesti?
Anazungumzia Harbours View ya marehemu Col. KimbauHahahahhah, mbunge gani huyo anamiliki guest
Mitidawa...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?
Huyo alipigwa chini kitambo sanacolonel kimbau ndio alikuwa mbunge kule muda mrefu sana
...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?
rasta nyoka

JangwaUmetaja vyote hujaongelea wabebez vipi wapo wa kutosha huko?,
Maalufu = maarufuKabila maalufu la huko ni lipi