Kabila maalufu la huko ni lipiLOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)
WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,
UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi
*******Karibuni sana kisiwani mafia******
Ni kweli wakazi wengi wa mafia hawaelewi kabila halisi lao, asili kabisa ya ni watu kutoa COMORO, watu kutoka lamu na pia washiraziKuna mtu ametokea kijiji cha chole nilivyomuuliza kabila lake akasema hana kabila. Je, ni kwel?
Mtu yeyote anaweza kuishi kisiwa cha mafia pasi na kuangalia Dini, kabila, rangi, elimu, uzawa....je mtu ili aishi Mafia inabidi aweje
Uweze kuvua samaki na kuangua nazi...je mtu ili aishi Mafia inabidi aweje
Ni wagunya ndo maaruf, ila pia kuna wandengereko, wamwela, wamatumbi,wamakonde..na sasa kuna ongezeko kubwa la wasukuma na wanyamwez pia wahaKabila maalufu la huko ni lipi
Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uoneLOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)
WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,
UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi
*******Karibuni sana kisiwani mafia******
Kwa hyo hawana lugha ya asiliNi kweli wakazi wengi wa mafia hawaelewi kabila halisi lao, asili kabisa ya ni watu kutoa COMORO, watu kutoka lamu na pia washirazi
Hahahahhah, mbunge gani huyo anamiliki guestNitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
Inabidi awe Mafia natania inabidi awe Mtanzania.je mtu ili aishi Mafia inabidi aweje
Hamna lugha mamaKwa hyo hawana lugha ya asili
Wa huko[emoji23]Hahahahhah, mbunge gani huyo anamiliki guest
Duu wee mtembeziAti Ibiza.....usinikumbushe kule bana.......Cafe Del Mar ni balaa!
HanaWa huko[emoji23]
Duka je kama mini supermarket kwa mbele nyuma ni gesti?Hana