Historia ya Kilwa Kisiwani

anatori

Member
Feb 16, 2022
5
3
Tangu karne ya 7 kilwa kisiwani palikuwa pakikaliwa na wenyewe ambao walikuwa ni kabla la wamwera. Kabla ya ujio wa persia mnamo karne ya 9 tokea hapo wenyeji hawakuwahi kujitawala tena.

Wakoloni walipishana mpaka miaka ya 1960 ambapo ukoloni ulianza kuondoka taratibu katika bala la Afrika ikiwemo uhuru wa Tanganyika wa mwaka 1961 kisha Tanzania ya muungano kati ya zanzibar na Tanganyika mnamo mwaka 1964.

images%20(8).jpg
download%20(2).jpg
 
Mpaka sasa kilichobaki kilwa kisiwani ni maghofu yaliyoachwa na watawala wa kikoloni. Kwa sasa maghofu haya yapo chini ya uangalizi wa mamlaka ya uhifadhi wa wanyamapori au TANZANIA WILDLIFE MANAGEMENT AUTHORITY(TAWA)
 
Back
Top Bottom