Lameck Mkumbo Madelu ni jina halisi la mh Mwigulu Nchemba.
Akiwa anasoma shule ya msingi Makunda kata ya Kyengege tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Mh Lameck Mkumbo Madelu alifeli mtihani wa taifa darasa la saba, baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia.
Kwa bahati nzuri kulikuwa na darasa la kata la kata ya Kyengege lililokuwa linajumuisha shule za Makunda, Mgundu na Kyengege yenyewe. Kutokana na kuwepo darasa hilo la kata ikawa kuna nafasi kwani mwanafunzi Mwigulu Nchemba (msukuma) alikuwa ameacha shule akiwa darasa la sita kwani mwinuko wa kielimu kwa wasukuma ulikuwa chini sana wakati huo. Ndipo Mwl Malumbi alipoweza kumuuzia jina la Mwigulu Nchemba bwana Lameck Mkumbo Madelu.
Baada ya kurudia masomo bwana Lameck alifaulu kwa kutumia jina la Mwigulu Nchemba lakini baadae akiwa Secondari aliliongeza likawa Mwigulu Lameck Nchemba
Source: Admission books
1. Makunda Primary School
2. Darasa la kata Kyengege
3. Ilboru secondary
4. Wakazi wa Makunda
mbisi zi mpipa luta teka hein ! , hehehehein?
malafu ma mpipa luta teka hein !, hehehehein?
mimpuka mi mpipa luta teka hein !, hehehehein?
suni mi bantu luta mina hein!, hehehehein?
makasu ma mpipa luta caba hein !, hehehehein?
yema mpudisi ma mpipa mame !, heheheheinhehehehein?
Mwigulu Nchemba ni jina la "UNGA"
Lameck Mkumbo ndiyo jina lake HALISI
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
SUBIRINI KWANZA........MHHHHHH.... aLITUMIA JINA LA MTU KUSOMEA? MHH ni wale wanaotupa matatizo kutengeneza vitambulisho vya taifa kwa kuwa tunakuta majina mawili yamefanana baba mmoja miaka sawa hospitali waliozaliwa ni moja jina la mama mzazi ni moja. Miaka miezi misiku na misaa waliozaliwa ni moja...Mama Porojo usinichokonoe kwa porojo zake, nitakutolea uvivu.
CIA walikuwa wanamfahamu Osama bi Laden in and out, je CIA walikuwa wajomba zake Osama?
Yaani kwa akili zako unafikiri kumfahamu mtu basi lazima uwe mjomba wake? Kweli wewe ni mmojawapo unayefikiri kwa kutumia kile kiungo alichokitaja Didas Masaburi na inaelekea hicho kiungo chako ni KIKUBWA!
Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Kabisa, mpare wa Same. Alipomaliza la saba enzi hizo hatukuwa na shule za kata, mwenzake 1 tu akachaguliwa kuingia sekondari katika shule yake, wengine wote hola. Akaenda Tanga kujaribu bahati yake akafanikiwa, hata form 4 alifaulu vizuri. Kama yuko huku JF nitafurahi akini-pm tukawasiliana tena baada ya miaka mingi. Majina ya kusomea ni jambo la kawaida enzi zile. Siku hizi kuna "soko huria" na shule za kata, unaambiwa kama hutaki Kayumba sepa zako kwenye academies za akina St Chambo na St Gift.Kwi kwii Mwenyekiti wa UKWATA anaitwa HUSSEIN RAMADHANI ALLY!