.Mimi kwa uelewa wangu mdogo wa hili jeshi letu ni kama hivi
then Samson Pandugu (1973-1975 ) huyu sina taarifa zake nyingi ila inasemekana katika ma IGP waliotoka wakiwa masikini wa kutupwa huyu ni mmoja wapo.
Niko open kwa masahihisho, nimejaribu kuweka historia kadri ninavyoifahamu mimi, aidha kwa masimulizi au kutokana na kusoma sehemu mbalimbali
I salute IGP's wetu wazalendo, ambao kwa namna moja au nyingine walidumisha AMANI na utulivu nchini... Enzi hizo raia hana 'ushikaji' bure bure tu na IGP...
View attachment 2251
1973-1976 Samwel Pundugu.
Hapo meja General anaingiaje kwenye magereza au polisi
Hapo meja General anaingiaje kwenye magereza au polisi
Japikuwa siyajui majeshi sina uhakika kama polisi na magereza kuna mj gen
ukwelikitugani,
..kwanza inabidi uwajue wakuu wa polisi tangu tupate uhuru.
..niliwahi kupitia website ya jeshi la polisi ambapo niliona taarifa za ma-IGP na miaka waliyotumikia.
..kwa kumbukumbu zangu wakuu wa Polisi ni hawa wafuatao: Elengwa Shaidi, Hamza Aziz, Samwel Pundugu, Philemon Mgaya, Solomon Liani, Harun Mahundi, Omar Mahita, na Said Mwema.
..Hamza Aziz alikuwa na kesi ya kukanyaga mtu na gari. sina details zaidi za kesi yake lakini inasemekana iliisha kiajabu-ajabu na baadaye Mwalimu akampeleka ubalozini USA.
..Philemon Mgaya alistaafishwa na Mwalimu Nyerere kwa manufaa ya umma. Miaka hiyo that was all the information that was given to the public. Nategemea watajitokeza wachangiaji kueleza ni nini kilisababisha Philemon Mgaya akastafishwa kwa manufaa ya umma.
Namanyere iko nyanda za juu kusini?Mbona naona kama wengi ni watu wa kaskazi samahani lakini sioni wa Nyanda za Juuu kusini kama kule kwetu Namanyere