Historia katika picha: Wazungu walitutesa sana waafrika!

Historia katika picha: Wazungu walitutesa sana waafrika!

Cha ajabu mwarabu mmoja mwenye gobore moja alikuwa na uwezo wa kuwathibiti wanaume 50 weusi, kuwafunga cheni, kuwasafirisha hadi ulaya na kuwauza kama mbuzi.
Tuna akili au matope?
mkuu alikuwa na vibaraka wake ambao ni weusi, hata leo weusi tumekuwa tukitumiwa kukandamiza wenzetu.

rejea tukio la kupigwambongo na mchina wapambe walikuwa waafrika wenzake

siku tukiwa na akili tukaacha upambe wa kibwege ndio tutaweza ku move

hadi leo mtu akipiga picha na mzungu, chotara anajiona kasha maliza

hadi leo tunagombania kuoa/kuolewa/kuwa na mpz wa rangi nyeupe, mzungu, mwarabu. kifupi rangi nyeusi haijitambui
 
Cha ajabu mwarabu mmoja mwenye gobore moja alikuwa na uwezo wa kuwathibiti wanaume 50 weusi, kuwafunga cheni, kuwasafirisha hadi ulaya na kuwauza kama mbuzi.
Tuna akili au matope?
Hebu weka hio picha inayoonesha Muarabu[emoji15] hapo wote wale waloleta biblea(wazungu) tu ndio ninaowaona.
 
Na bado kuna eti tunayoyaita masomi 'Bwana Yule ' Pro-pesa anafikiria madili ya kutumwa na wanaume wenzie kuvuruga badala ya kutumia bichwa kuleta maendeleo ili tuondokane na unyonge huu tuliodhalilishwa na mizungu huko nyuma.
 
Utafungua kesi wapi? Mahakama zote za kiarifu zenye nguvu ziko kwao,yaani itakuwa ni kupeleka kesi ya sokwe kwa tumbili.
Sasa ina maana hata watetezi wa haki za kibinadamu hawatatoa msaada wa kisheria...!!
 
Tatizo tumeshakuwa waoga, tunawapigia magoti kila kukicha!
Kenya waathirika wa maumau si walilipwa na Uingereza..!!
Tukiweka uoga kando na wakijitokeza wanasheria makini tutawashinda...
Tatizo linakuja viongoz wetu
Onja iyo kwanza

1476290366721.jpg
 
Tatizo tumeshakuwa waoga, tunawapigia magoti kila kukicha!
Kenya waathirika wa maumau si walilipwa na Uingereza..!!
Tukiweka uoga kando na wakijitokeza wanasheria makini tutawashinda...
Kama Tundu Lisu
 
Huwezi kuwa jasiri bila kujitegemea. Huwezi kujitegemea kama huna vipaumbele sahihi. Kununua ndege wakati huna madawati ili watu wako waelimike sio kipaumbele sahihi.

Kwa kutokua na elimu utaendelea kuwa tegemezi milele kwa wanaojituma kupata maarifa. Mifano tunayo mingi hata katika familia zetu.

Kuendelea kulialia eti ulitawaliwa ni ujinga. Jipange uje utawale. Maisha sio kutafuta visingizio ili kuhalalisha kufeli kwako.

Hizo picha ni uchochezi
 
Cha ajabu mwarabu mmoja mwenye gobore moja alikuwa na uwezo wa kuwathibiti wanaume 50 weusi, kuwafunga cheni, kuwasafirisha hadi ulaya na kuwauza kama mbuzi.
Tuna akili au matope?
Katika hizo picha zote sijaona mwarabu hata mmoja.
 
Cha ajabu mwarabu mmoja mwenye gobore moja alikuwa na uwezo wa kuwathibiti wanaume 50 weusi, kuwafunga cheni, kuwasafirisha hadi ulaya na kuwauza kama mbuzi.
Tuna akili au matope?

Hivyo wewe wa wapi? Hujui hata tofauti ya mwarabu na mzungu!!! Hebu onyesha mwarabu katika hizo picha. Chuki na roho mbaya kwa waarabu ndio zinazokusumbueni. Mtabaki hivyo hivyo na husda zenu. Poor African!!!!
 
Cha ajabu mwarabu mmoja mwenye gobore moja alikuwa na uwezo wa kuwathibiti wanaume 50 weusi, kuwafunga cheni, kuwasafirisha hadi ulaya na kuwauza kama mbuzi.
Tuna akili au matope?
Na umbulula wako umeona mwarabu hapo, au ndio unaogopa hata kuwaangalia kwenye hizo picture
 
Back
Top Bottom