Mfalme ni kama nembo ya taifa na si Mtendaji ni sawa na sisi tuwe na baba wa taifa.Hizo nchi zinaongwa na katiba haziongozwi na mawazo ya MTU mmoja ( udikteta).Nchi gani Ulaya kuna demokrasia tunayohubiriwa Africa? UK, Belgium, Netherlands, Luxembourg na Spain ni Falme hizo. Ujerumani hakuna term limits kwa Chancellor wala kwa Rais, Naongelea Ulaya Magharibi wa sababu ndio wadau wakubwa na wahubiri wa haya mamabo.