leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Nimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna muda hata kuongea japo nampenda na wala siwez fanya chchte pasipo yeye kutaka mie nataka attention yake nimechoka simu tu na kuwa mpenzi mtazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app