Hisia zimeisha juu yake

Hisia zimeisha juu yake

Nimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna muda hata kuongea japo nampenda na wala siwez fanya chchte pasipo yeye kutaka mie nataka attention yake nimechoka simu tu na kuwa mpenzi mtazamaji

Sent using Jamii Forums mobile app
...COVID-19 Ikiisha ina maana kanaingia Form Five, Bado katoto ni vema ukasaidie kiakili kipindi hiki.
 
Nimekuwa nae sasa Miaka mitano tangu anaanza form one ila mahusiano yetu yamekuwa ya simu tu hatujawahi kukaa kitako tuyajadili mahusiano yetu na malengo yetu ni jirani yangu kila siku na muona pia najua hapa kitaa hasaliti labda shuleni kwao attention na mie ni simu anapiga sana tu ila hatuna muda hata kuongea japo nampenda na wala siwez fanya chchte pasipo yeye kutaka mie nataka attention yake nimechoka simu tu na kuwa mpenzi mtazamaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado mdogo huyo subiri akue
 
Una uhakika gani kuwa hasaliti?..Kwani unashinda nae muda wote😎
 
Back
Top Bottom