Hisia zangu zinanituma nioe "Mwanajeshi"

Owa tu mkuu ila kama una tabia za hasira na kujimwambafai uziache,nadhani utakuwa una idea kidogo ya mafunzo ya kijeshi alionayo...
Yah dats sure mkuu...... Ila mwanamke n mwanamke...... Bla shaka kwakuwa tutaish wawl bas tutaunda kanuni moja..... Kuheshmiana na kupendana baaas... Vngne Ntatumia busara tu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Hapa kwenye kukupangia siku za kulala aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikisikia neno "jeshi", akili huwa inahama.
Ila fuata moyo wako vile unahitaji.
 
Sema ukioa mjeshi na siku umefumwa unachepuka kichurachura kinakuhusu mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…