Hisia zangu nizifanyeje?

Hisia zangu nizifanyeje?

Hajanishinda ila nilimbwaga.ila nikiwa lasaba mpaka form 4 nimepasua bikra 8,kwahiyo nina experience ya kutosha na virgin.

Hahahaaaaaa! Ulivokuwa 7 hadi 4 YOUR GAME WAS TIGHT, UJANA ULIKUWA NAO MKONONI, IT WAS YOUR MOMENT BACK THEN!

OLD MAN YOU HAD YOUR TIME, AND YOUR TIME IS OVER! Kubaliana tu na hali halisi! waachie vijana hizi mambo!

Sasa ujiulize what it took for a girl kubakia bikra after kuikwepa mi cyborg kama wewe? brains! lots of them!

kuwa BIKRA MTOTO NI RAHISI SANAA KULIKO BIKRA MZEE! Nyani mzee kakwepa mishale mingi sanaa!
 
hujawahi liwa? Kama hujawahi madhara hakuna zaidi ya fantasiz tu inakuwaje na aje.

ila kama ushawahi liwa ngumu, ukiliwaza tu gegedo, kidagaa up.
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! Limetokea kwenye songi moja ya zilipendwa! Nimesahau muimbaji ni band gani vile! Correct me if i am wrong!

Kwani umesoma na mzee kikunge nasikia ndio ilikuwa miziki yao ujanani.
 
hey guys ni muda mrefu tokea nipate hug kutoka kwa mpenzi takribani maka sita nyuma, i tend to have deep feelings with love, na kitu kinachoniumiza most of the guys who loves me sina feelings nao, but psychological there is guys whom i love them but ithink wanadate tayar. Then i don know what sex is CAN IT AFFECT ME? cause i think ahave many hisia of love

typicak face book posting...! typical under 20 language!!! mnatuchafulia lugha mno
 
JF haijawahi kuniangusha...kiswahili nayo ni lugha jamani
 
Kwani umesoma na mzee kikunge nasikia ndio ilikuwa miziki yao ujanani.
Mi nimelelewa mid 90s ndo nimepata ufahamu, sasa life lilikuwa toughf sanaa kama unakumbuka, mambo ya Radio Tanzania (My old man mpaka leo anasikiliza sanaa hii radio) mzee akiwa nyumbani ndo anasikiliza coz iko moja wote mnajumuika kusikiliza kitu cha STEREO!

Afu alitoka kidogo akarudi na tape, tape na santuri za chapati na kimashine chake kile akifurahi anatuwekea mziki wa pini, afu alikuwa mtu wa bata vibayaa mnoo! Hakosi miziki, anaenda mpaka moro weekend kumuona Baraka Mwishee. Hawa kina Marijani, sikinde, msongo, na vizee zingine kibao zipo tape zao mpaka kesho anasikiliza 24/7. Mwenye ninazo soft copy, za zilipendwa za kibongo, country, kina Michael Bolton, Whtiney, Bobby, John Gills ananiambiaga ni mbanie cd from time to time, au kama tape imechoka ananiambia nimbanie cd!

Ndo maana nazijua sanaa hizi makitu, coz sometime tulikuwa tunatoka nae usiku, beki tatu kasepa, bi mkubwa hataki kubaki ndani kama utumbo i was like 6 mpaka 9 tunawaangalia vijana wa zamani! Siwezi kusahau kirahisi.
 
Hahahaaaaaa! Ulivokuwa 7 hadi 4 YOUR GAME WAS TIGHT, UJANA ULIKUWA NAO MKONONI, IT WAS YOUR MOMENT BACK THEN!

OLD MAN YOU HAD YOUR TIME, AND YOUR TIME IS OVER! Kubaliana tu na hali halisi! waachie vijana hizi mambo!

Sasa ujiulize what it took for a girl kubakia bikra after kuikwepa mi cyborg kama wewe? brains! lots of them!

kuwa BIKRA MTOTO NI RAHISI SANAA KULIKO BIKRA MZEE! Nyani mzee kakwepa mishale mingi sanaa!

Inawezekana unaweza sana mapenzi wewe.nitarusha ndoano ila ujinasishe tafadhali!!
 
if ur great thinker juc aswer wat you have been asked? then if ur nat in born with a certain language u can nat say ur comptent right. So judge wat ur supposed tio judge and nat otherwise
 
Mi nimelelewa mid 90s ndo nimepata ufahamu, sasa life lilikuwa toughf sanaa kama unakumbuka, mambo ya Radio Tanzania (My old man mpaka leo anasikiliza sanaa hii radio) mzee akiwa nyumbani ndo anasikiliza coz iko moja wote mnajumuika kusikiliza kitu cha STEREO!

Afu alitoka kidogo akarudi na tape, tape na santuri za chapati na kimashine chake kile akifurahi anatuwekea mziki wa pini, afu alikuwa mtu wa bata vibayaa mnoo! Hakosi miziki, anaenda mpaka moro weekend kumuona Baraka Mwishee. Hawa kina Marijani, sikinde, msongo, na vizee zingine kibao zipo tape zao mpaka kesho anasikiliza 24/7. Mwenye ninazo soft copy, za zilipendwa za kibongo, country, kina Michael Bolton, Whtiney, Bobby, John Gills ananiambiaga ni mbanie cd from time to time, au kama tape imechoka ananiambia nimbanie cd!

Ndo maana nazijua sanaa hizi makitu, coz sometime tulikuwa tunatoka nae usiku, beki tatu kasepa, bi mkubwa hataki kubaki ndani kama utumbo i was like 6 mpaka 9 tunawaangalia vijana wa zamani! Siwezi kusahau kirahisi.
Those were the times .Dar ilikuwa tamu no foleni...lara ulikuwa very privileged hujui tu..
 
Masantura ..ngoma ya mpwito lol I bet hujui hili neno limetoka wapi?

Hii ya masantula, ngoma ya mpwito
Na wangu Mwajuma, namtafuta

Akaninunulie, kitu mafuta
Kwa bahati nzuri, akayakuta
Na kwa bahati mbaya, akayapita

Okota maganda, peleka Uganda
Yamepanda bei, sukuma waaaaa

Cc: Husninyo
 
Back
Top Bottom