The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Hahaaaa those were the daysHii ya masantula, ngoma ya mpwito
Na wangu Mwajuma, namtafuta
Akaninunulie, kitu mafuta
Kwa bahati nzuri, akayakuta
Na kwa bahati mbaya, akayapita
Okota maganda, peleka Uganda
Yamepanda bei, sukuma waaaaa
Cc: Husninyo
Last edited by a moderator: