beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
za sa hizi wanajamvi wazima ninyi? Mi nataka kujua kitu kutoka kwenu nahitaji kujua ivi unahisi beibe nasty a.k.a jg'S wife anamuonekano upi? N atakua mtu wa aina gaani?
Nawasilisha.
me nahc wewe ni bonge bonge afu mfupi kidogo, choklet color. msongo sana (unapenda kusoma) sista du kidogo na unakwenda na wakati
Na mimi naruhusiwa kuhisi my wi? Najua unajua kuwa nakujua vizuri, waweza niruhusu nihisi kiuongo uongo. Lol
Nahisi wewe ndio yule mama bonge la mtu jeupe anakuaga usiku pale corner bar kwa mbele ukipinda kona ukiwa unaelekea sinza anakaa upande wa kulia.
Ntakupa pichu yangu uifuenikipatia utanipa nini beibe??
Ntakupa pichu yangu uifue
Haaaahaaaa mweeehhahahahaha bonge bonge?? mbona mtaani tusingepumua..
Nina hakika Thrade hii mimi hainihusu !
Niendelee tu kusoma mitiririsho!
Afu Mamsap hapo kwenye kufuliwa kufuli , nimepa'bold , hebu pashereheshe! Sijapaelewa kiufasaha !
Moja u r beautiful,hilo kwangu halina ubishi,Pili u r honest sina uhakika kwa hili,Tatu u r not nasty as u r trying to express u r self here(not tiGo)
Hahaahha mwenzangu usilete majanga hapa hebu ni pm basi kuhusu my sis madameUmeenda nje ya mada! Utakatwa!
Hunie huyu si anatafuta kazi kijanja sa mi ntampatia zile kufuli zile za naniliu azifuee mpaka atoke mbio hakuna lingineo bby
Ok ! Ok !
Nimekufehemu atakua anafua zile na after back frm NASA !
Hapo shwari ! Mwite muhudumu , atuchomee nyama eti eeh ! Mwambie ikauke vizuri .
Kula nyama Mamiy, maisha yenyewe mafupi haya!