Hisabati kitu ingine acheni tu!

Hisabati kitu ingine acheni tu!

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,485
HISABATI KITU INGINE ACHENI TU!

In high school, i was very poor in maths and chem. During exams, i'd get btn 2% and 8%. The results used to be announced out from the lowest to the highest marks, so i would always be the 1st or 2nd from the bottom to be called out....
One day the maths results were being released out and my name wasn't among the 1st to be called out...
The teacher got to 30s, 40s, 50s, 60s, 70s still my paper had not been called out...Everyone kept looking at me asking, "Daamn boy, whatsup??" The teacher went on to the 80s and when he got to 88%, he had one paper remaining...I then asked myself, could i have scored a 90% in maths? I was feeling anxious and happy now that i knew i had proven the so called genious wrong. Could i have got 90%? I thought my dream had been answered...The whole class was amazed as everybody kept looking at me, it was unbelievable.
Finally the teacher looked up and said, "Na kuna ng'ombe ingine hapa haikuandika jina, na imepata 0!! Ka hujapata karatasi yako kuja ujichukulie."
 
aahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaahhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ze ticha woz so rudi...hau kamz kolo a situdenti a kau...!
 
Mzee Es,

Kwa nini umethubutu kumtukana Mkapa lakini? Yeye ni Rais mstaafu, na kwa hali hiyo sio sawa hata kidogo kumtukana.

Mzee Malecela kazi kubwa aliyofanya CCM ni kusimamia chaguzi sehemu zilizoonekana ngumu (kama kwa Cheyo). Amebobea kwenye fani ya wizi wa kura.

Mzee Malecela alishawahi kuwaambia vijana wa CCM: mwana upinzani akikupiga kofi moja, wewe mrudishie mawili. Yaani ni mhamasishaji wa mapambano ya wenyewe kwa wenyewe. Hatari sana.

Anyway, unaweza kumpenda, lakini wacha kabisa kumtukana Mkapa. Tuko wengi ambao tuna macho na tumeona na kutambua jinsi Mzee Mkapa alivyojenga uchumi wa Tanzania. Amewapiku sana Musa (Mtumishi wa Mungu) na Mzee Ruksa.

Kuhusu kijiwe kinachowafaa akina sisi, nashauri tuhamie hapa na tupajenge sisi wenyewe. Tusisubiri mtu mwingine apapashe moto.

Tunasubiri kwa shauku michango mingi na yenye faida kwa taifa toka kwako.

Augustine Moshi

Haya!!!!
 
ze ticha woz so rudi...hau kamz kolo a situdenti a kau...!

Madenti wengine wanakera sana, ingekuwa mimi na bakora ningemchapa. Kama chuo kikuu ningempa negative 5 ili iwe fundisho kwa wengine.
Ha ha ha ha
 
Hahahaaa jamaa anazan kapata mia kumbe ana sufuri hahahaaa!!!!
 
You don't have to worry! Tuko "ng'ombe" wengi. Waweza kuwa ng'ombe kwa maths lakini ukakuwa farasi au sungura katika somo au mambo ingine.
 
Hihiii!
Hesabu hatari!

IMG-20140211-WA0005.jpg IMG-20140211-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom