Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
Neema kwa wawekezaji wote wa CRDB siku ya jana hisa moja iliuzwa kwa tsh 1510 .
 
Wameramba 40k yangu jana bila ya kujua imeenda wapi. sina haku nao kabisa
 
Hatari sana aisee wawekezaji hoye
 
Hisa nyingi bei zimepanda sokoni. Hizi za CRDB na nyinginezo mpaka sasa ni overpriced
 
wamelamba ili waongeze gawio kwa wenye hisa mkuu

pole sana-crdb wanaibia wateja ili kuwaridhisha wana hisa wao
Hii yaweza kua kweli, laki wana hisa wengi pia ndio wateja wao wakubwa so hakuna shida coz n kama kutoa hela mfuko wa kushoto na kuweka kulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom