Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

Msimu wa uchaguzi pesa mingi ipo mikononi mea wananchi

Inaoneka Mpunga mwingi mtaani. Mambo ya uchaguzi
impact ya uchaguzi bado kuna ripoti nilisoma , inaonyesha participant wa kuuza na kununua wameongezeka 2023 walikuwa 96k , 2024 wakawa 124k , sasa mwaka huu unadhani watakuwa wamefika wangapi , sasa hapo demand automatically inaongezeka , na rate ya kuongezeka ilikuwa around 30k from 2021 , bei itaendele kupanda tu . Maana hata waliokuwa wananunua kwenye bond wamekosa sasa huku ndio alternative
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom