His name is.....

His name is.....

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1474086403176.jpg
 
Tunatambua thamani ya mchango wako.. mataifa mengi ya Africa yanaitaji watu wenye msimamo kama wewe. Strong leadership is power of africa...
 
Huyu ndo alitimua wangoni..! duh alafu mbona anachakula ya watoto ama ni millitary way ya kipindi hicho..?
 
Umenikumbusha kozi flani hivi ""history of south Africa"
mshana jr nimesikia hawa jamaa Wa south Africa wanaanza kutoa degree ya witch craft ulozi...
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wako kwenye mchakato nikufanyie maarifa sumbai?
 
Huyo Shaka alikuwa mwanaharamu, yaani Baba yake alimzalisha Dada yake ndio akatoka huyo Shaka,...kwahiyo Mama yake ndiye huyo huyo alikuwa Shangazi yake....Baada ya kugundua Baba yake hampendi na ana mpango wa kumrithisha uchifu mtoto halali, Shaka alimuua yule dogo halali then akaukwaa uchifu wa Zulu kimabavu....alikuwa ni mtu katili na hatari sana.
 
Hilo linathibitishwa na alichoandika hapo
 
Back
Top Bottom