HipHop FreeStyle East Africa(HFEA)

Nichek hata kwa phone,ukikosa loan/

Ntakuwekea bond,uishi ka mton

Hustle zna nafasi,God ana ana nafasi pia/

Yeye aliyeninyima ualimasi,akanipa nyota ya lupia/

Ya kutafutwa kila kona ,ka soko huria/

Ukishindwa simamia unachokiamini,mean umekosa nia
 
Nichek hata kwa phone,ukikosa loan/

Ntakuwekea bond,uishi ka mton

Hustle zna nafasi,God ana ana nafasi pia/

Yeye aliyeninyima ualimasi,akanipa nyota ya lupia/

Ya kutafutwa kila kona ,ka soko huria/

Ukishindwa simamia unachokiamini,mean -umekosa nia
Yeah unajua kufloo ila mashahir afifu/Unakaza ila ngumu kufua Dafu.
Nakimbiza wananiita Chafu/Pumzi kali kwenye mapafu.
Nalisongesha bila ya hofu/Nasubir challanger kipofu.
Unaweza niita Rambo/ama kijana mmoja dolph.
 
Rappers weng mnauza sura,mi nauza floo/

Nna madini mengi kwenye medula,mpaka naloose control

Siuziki ka kaptula,shimoni kariakoo/

Natisha ka jin kabula,vilaza nawakaba koo

Am monster rapper,I got magic rhymes/

zenye uwezo,wa kuhaririwa mpaka daily times

Front ndo ma name,sihiitaji scandal ni gain fame/

Mana the gas jina kubwa,lenye hadhi kila sehemu
 
I have never sold my to devel,kupata hiz dezo/

I sold my to devel,kupelekwa high level

Cmjui baba level,ww npe za navy kenzo/

Nikukamatie kwa chini, yes baby huo ndo mchezo/

Unapenda wa micharazo,au jide wa mawazo/

Ka issue ni vumba,ntakupa mpaka chetezo

Sihitaji yao mawazo,nshavuka vingi vikwazo/

Toka tulipofumaniwa nawe geto,na kaka yako mawazo

Usiwajali hawa haters, nsha sign hiz papers/

Wanga mkavunje Nazi,sie twalindwa na lord Jesus

Staki amini miujiza, ila amini cntokuliza/

Kama mapenzi ubalozi,ntakukatia na viza

Ww kwangu ni alpha,Ww kwangu ni omega/

Captain wa maisha yangu, na kesho nakupa umejor
 
Rappers weng mnauza sura,mi nauza floo/

Nna imadini mengi kwenye medula,mpaka naloose control

Siuziki ka kaptula,shimoni kariakoo/

Natisha ka jin kabula,vilaza nawakaba koo

Am monster rapper,I got magic rhymes/

zenye uwezo,wa kuhaririwa mpaka daily times

Front ndo ma name,sihiitaji scandal ni gain fame/

Mana the gas jina kubwa,lenye hadhi kila sehemu
Rhymes hazijaenda shule/njoo nikufundishe bure.
Kama una njaa karibu tule/i'm unstoppable toka enzi zile.
naku shut naku disable/acha kuvaa airmax zako ni yeboyebo.
Marehemu wangekuwa hai, ningekushaur uimbe na mr yebo/rhymes zinakata,kama umezimiwa cable.
invite ur friends to come on the table/U alone to survive it's impossible.
kamata bia ya kibo/usepe kabla hayajakufika ya shingo.
Kabila langu sio mdigo/natokea florida kwa anold kigogo.
Kaimbe na malaika wa zogo/ama ommy dimpo wa tupogo.
 
Yeah unajua kufloo ila mashahir afifu/Unakaza ila ngumu kufua Dafu.
Nakimbiza wananiita Chafu/Pumzi kali kwenye mapafu.
Nalisongesha bila ya hofu/Nasubir challanger kipofu.
Unaweza niita Rambo/ama kijana mmoja dolph.
watoto wa cku hiz, mnapenda mabifu,
kurap mmeanza juz,mnajikuta machief,
hujaanza hata kunyoa ma***i,afu unajipamba as if,
 
ngumu ndo naimba /af sogop mabifu,
nmsumbua spika /wananita tundu lissu,madini nayachimba/mnaishia kuona wivu ,dada zenu nawapa mimba,ruksa kutoa povuuuu
 
ngumu ndo naimba /af sogop mabifu,
nmsumbua spika /wananita tundu lissu,madini nayachimba/mnaishia kuona wivu
 
Calm down underground/

Nawapga kwa knockout within a first round

Thamani ya muziki wangu ni dollar, ongeza na pound/

Malaya vaa della,nkumalize kwenye ground
 
Calm down underground/

Nawapga kwa knockout within a first round

Thamani ya muziki wangu ni dollar, ongeza na pound/

Malaya vaa della,nkumalize kwenye ground
Mim ni Mtu mbaya/sina mashair ya kwaya.
Sina nguvu za Jadu/Ordinary man sio mwalubadu.
From downtown/Sound down.
Super prawn/dupa Crown.
 
Back
Top Bottom