Msemo mzuri kwenye industry ya music production. Unawafaa sana watu kama Sauda Mwilima, Abubakar Mwanamboka nk.Watu hawa wanaweza kukutana na mwanamuziki mwenye maringo anayejishebedua kwa kusema: 'Mimi mkali, ninayo mistari yangu mingi
niliyoiandika'. Hapohapo Sauda au Abu anaweza kumjibu: 'Kuwa na mistari mingi si hoja mshikaji kwani hata pundamlia
anayo kemkem'