Hip hop Facts Thread

Sikia michano ya kinyamwezi hiyo kiongozi, nani aliweza kuchana kama hivyo?

au unazungumzia hii Og?

12998651_263473647329760_797085430071472685_n.jpg

Sifahamu nani aliweza kuchana kama hivyo, kwa sababu siwajui wengi wa enzi hiyo. But everything about that song is pretty regular, the flow, rhymes, you name it. I could write dope bars, in a few seconds.

Only respect I would give these cats, is for pioneering. That's all.
 
Album bora ya hip hop - Funga kazi (sina uhakika kama ndio iliitwa hivyo) ya Hard Blasters Crew. Ina all time relevant issues. Rushwa, ubadhirifu, Upendeleo, mapenzi, siasa, masuala ya kijamii, etc etc.

Msanii bora wa hip hop wa muda wote - Prof Jay. Album yake ya kwanza ndio ili-transform game yote. + he's got more classics than any other rapper, chemsha bongo, Bongo Daresalaam, etc.

Wimbo bora wa hip hop - Chemsha bongo. Forever a classic.

Kwa mtazamo wangu.
 
Afadhali umesema ni mtazamo wako.

Hakuna album kali ya hiphop kuwahi kutokea bongo zaidi ya "Ulimwengu ndio Mama" ya J Moe.

Nyimbo zote kwenye album ni classic kuanzia Bishoo, Majukumu, Misosi mitungi na Pamba etc

Kwenye wimbo bora Chemsha bongo nakubaliana na wewe.

Ila tena msanii mkali wa hiphop ataendelea kuwa Hashim Dogo.
 
Album bora ya hip hop ya muda wote ni Machozi, jasho, na damu. Sorry, nilikuwa kwa watu wa zamani wakati nasema nilichosema mwanzo.

Na wewe ulichosema ni mtazamo wako. Binafsi, sijawahi kusikia hata sauti ya Hashim Dogo, which makes me draw a conclussion that he was just another ordinary rapper. Haiwezekani mtu awe mkali, na anajulikana kwa mashabiki wake tu.
 
Kutomsikia Bi Kidude hakufanyi yeye kutokuwa gwiji wa taarab.

Hashim anafahamika kwenye community ya hiphop na ana heshima kubwa sana.
 
Community ya hip hop ipi hiyo? Cuz hata kina Dudubaya na Mh Temba wana watu wanaowaheshimu.

Na heshima ya ukali wa hip hop ni kutambulika na kuheshimika mpaka kwenye genres nyingine za muziki, kupitia hip hop. Hashim anajulikana kwa mashabiki wake, na ndugu zake tu. Nina uhakika zaidi ya Hashimu mwenyewe, ni wachache sana sana wanaoweza kutaja hata ngoma 5 tu za jamaa.
 
Das EFX na ile kitu ya Real hiphop kuna nguzo nyingi za hiphop mule ndani balaa! Hafu kuna Mr. Cheeks wa LB na Method man wa Wu_Tang Clain nawakubali sn ktk flow style zao. Easy sn kumfunika mtu wale jamaa!
Bila kuwasahau ghostface killer, capadona, gza, rza ndani ya wutang clan, az, infamous mobb deep, fu-schinikens,

Lakini pia c.l smooth na Pete Rock. Eric sermon, perish smith wa kundi la epmd.

Hata hivyo sitawasahau west coast rappers kama b-legit, rappin4tay, MC eight, e40, kurupt, daz dilinger, coolio, dramacydle, spice 1, Rufus black, the outlawz, 8ball, mjg,

Sent from my XT1080 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali umesema ni mtazamo wako.

Hakuna album kali ya hiphop kuwahi kutokea bongo zaidi ya "Ulimwengu ndio Mama" ya J Moe.

Nyimbo zote kwenye album ni classic kuanzia Bishoo, Majukumu, Misosi mitungi na Pamba etc

Kwenye wimbo bora Chemsha bongo nakubaliana na wewe.

Ila tena msanii mkali wa hiphop ataendelea kuwa Hashim Dogo.
Hashimu mi huwa namchukulia ni msanii aliyebahatisha halafu akakimbia.
 
Community ya hip hop ipi hiyo? Cuz hata kina Dudubaya na Mh Temba wana watu wanaowaheshimu.

Na heshima ya ukali wa hip hop ni kutambulika na kuheshimika mpaka kwenye genres nyingine za muziki, kupitia hip hop. Hashim anajulikana kwa mashabiki wake, na ndugu zake tu. Nina uhakika zaidi ya Hashimu mwenyewe, ni wachache sana sana wanaoweza kutaja hata ngoma 5 tu za jamaa.
Mkuu wewe utakuwa mtoto wa miaka ya 90s.
 
1461875852562.jpg

Ilimchukua dakika ishirini kwa Chris Rock kuingiza kipande chake kwenye wimbo wa 'blame game' wa Kanye.
 
1461876427109.jpg

Mwaka 2012 rapa Juma Mchopanga aka J moe alifanya wimbo na rapa mashuhuri wa USA aitwae MIMS. Wimbo uliitwa Never be Me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom