Hillary Clinton: Somebody who attacks everybody has something missing

Sasa wewe unalinganisha mazingira ya America na Tanzania
Mnachekesha kweli!!
Siasa za Tanzania ni Attack Attack Attack!! Mikakati+Fitina
hahaha. ..really? but lowasa never attacks anyone ...na still is the mastermind of Tz Politics
 
Kweli kabisa mkuu. Huyu wa kwetu anataka awe anaongea yeye tu. Anataka kuonesha kuwa wenzake walifanya hovyo kabisa hivyo yeye ndiye pekee anayeweza kufanya vyema na hatak kupngwa na ndiyo maana anasema hakuna rais mwingine isipokuwa ni yeye tu kitu ambacho hakina haja ya kukisema ila ni kama kusema yeye ndiye alfa na omega
 
Si mlikuwa mnamsifia akimpiga Vijembe JK mkaanza kujifaragua eti anatumia Sera zenu?!
Namshauri Magu kabla hajahamia Dom abomoe Jengo la Tanesco Ubungo kwa kujengwa kwenye hifadhi ya barabara na Management ya Tanesco ihamie Dodoma.
 
hata mimi naunga mikono...abomoe tanesco...auze Majengo ya BOT
 
Si mlikuwa mnamsifia akimpiga Vijembe JK mkaanza kujifaragua eti anatumia Sera zenu?!
Namshauri Magu kabla hajahamia Dom abomoe Jengo la Tanesco Ubungo kwa kujengwa kwenye hifadhi ya barabara na Management ya Tanesco ihamie Dodoma.
Asiishie hapo tu apige mnada hadi majengo ya ikulu ili pesa zikagharimie ujenzi wa ikulu ya kisasa kule Dodoma. Ikibaki pale atakuwa anarudi rudi Dar na hivyo kuongeza gharama. Hii itasaidia pia hata rais atakaye mfuata yeye kutofikiria kurudi Dar kwakuwa kutakuwa hakuna ikulu ya rais. Mnada iwe ni kwa majengo yote ya wizara na ikulu yenyewe! Ujue mkuu kuna mambo anafanya vizuri lakini wakati mwingine anakosea na yeye ni binadamu akubali kukoselewa tena kwa faida yake. Mambo kama kuondoa wafanyakazi hewa, kusaka na kutimua wenye vyeti feki au vya kukodi au vya marehemu au ndugu zao ni mzuri sana. Lakini kuzuia shughuli za vyama vya siasa ambavyo vipo kw mujibu wa katiba hapo ndipo anapokosea sana na hii itamharibia kitaifa na kimataifa.
 
Si mlikuwa mnamsifia akimpiga Vijembe JK mkaanza kujifaragua eti anatumia Sera zenu?!
Namshauri Magu kabla hajahamia Dom abomoe Jengo la Tanesco Ubungo kwa kujengwa kwenye hifadhi ya barabara na Management ya Tanesco ihamie Dodoma.
na ikulu atauziwa mmiliki wa kebby hotel ya pale bamaga. Hhha
 
Hata uwanja mpya wa taifa ulijengwa baada ya kuona ule wa zamani kila wakichimbua wanakuta vichwa vya fisi, mbuzi, ngedere na mahirizi mambo ya Simba na Yanga.So ili tupate maendeleo serikali kuhamia Dodoma ni LAZIMA
 
Hivi maandamano yanaogopwa eeh?, Kama Mtu alishinda kwa halali anaogopa nini?
Mkuu nchi yako inategemea misaada ya wahisani, hao wanaotuletea fedha kila mwaka hawana muda wa kuandamana, sisi tunaowategemea tuna muda mwingi wa kuchomwa na jua tukimsubiri mwanasiasa aje atuhutubie. Huoni kwamba tunajenga taifa la masikini wa miili na akili pia?.
 
Akiongea katika kampeni zake kasema mano haya. "somebody who attacks everybody has something missing". Namuona Rais Magufuli kila mara katika hotuba zake ni lawama, vitisho, matamko yasiyozingatia katiba nk.

Asante mama kwa kinifumbua macho
JPM ANA KAZI KUBWA KUIWEKA NCHI HII KWENYE MADILI KWELI NCHI ILIKUA KWENYE ICU ANA MADUI WENGI MAPAPA TENA MAFSADI NA WAHUJUMU UCHUMI UKIWA ATTACK LAZIMA WAPIGE KELELE
 
Back
Top Bottom