omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,702
Hillary Rodham Clinton amekubali kuchukua jukumu vita ya kuokoa tembo barani Afrika, ambao wamekuwa wakichinjwa kwa kiasi kikubwa na cha kutisha ili kupata pembe zao ambazo mahitaji yake yanaongezeka kwa kasi katika nchi za China na nchi zingine za Asia.
My take:
Pale Rais Obama aliposema anatoa $10m kusaidia huu mradi kuna 'wadau' walishaanza kutafuta plot maana walijua neema inakuja.
Na kwa hatua hii, 'mzee wa tembo' ataendelea kufurukuta au atadhibitiwa!
Nawasilisha
Source