Asante sana. Nilikuwa sijuiKwa wasiojua Salman Khan ndo mwanadamu wa kwanza kushinda kesi ya mauaji India bila kukaa ndani hata kidogo
alimgonga homeless mmoja!hakukaa ndani sababu ni trafik kesi!ila jamaa anasaidia sana maskini huko india ukichukulia wahindi ndio maskini kuliko yoyote chini ya jua.wakiwa huku wanatubagua tu ila wana njaa kali sana hawa jamaa!Kwa wasiojua Salman Khan ndo mwanadamu wa kwanza kushinda kesi ya mauaji India bila kukaa ndani hata kidogo
Unajua Khan alimwambia lini hivyo? Hiyo ni jino kwa jino, Khan alimkejeli maza kaua. Unaikumbuka kesi ya Khan?Acheni kukuza vitu.mbona kamjibu vizuri tu