Hillary almanusra adondoke tena huko India!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,502
Reaction score
145,905
Sijui Hillary ana matatizo gani tu!

Juzi alikuwa huko India ku promote kitabu chake na katika matembezi yake sijui nini kikamtokea akataka kudondoka mara mbili akishuka kwenye ngazi.

Bibi anatia huruma.

Wewe huoni viatu ndio vilikuwa ni issue mpaka akavivua. Halafu hizo ngazi hajazizoea, kwani mjenzi wake anaweza kuzidiwa kufikiri hata na mtoto wa miezi mitatu.
 
Mangazi kama Yale ya magorofa ya watemi wa zamani ya udongo!
 
Hatawewee kwayaliotokea uchaguzini nahisi moyoo ungesimama anajitahidi kubeba machungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…